uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Zamani Watoto wa Matajiri na Masikini tulisoma Shule Moja mfano Mbowe na Ndugai, hii ilidumisha Uzalendo

    Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns Nawatakia Sabato Njema 😄😄
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uzalendo ndani ya mtoto wa Tanzania

    Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda. Jeshini zile siku za mwanzoni huwa wanafundishwa uzalendo nyimbo za uzalendo. Lakini kama mashuleni...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kazi za Ujenzi Zifanyike kwa Ubora na Uzalendo - Dkt. Biteko

    KAZI ZA UJENZI ZIFANYIKE KWA UBORA NA UZALENDO - DKT. BITEKO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya ujenzi kwa ubora na uzalendo mkubwa ili wainue uchumi wa nchi na kuhakikisha unashikiliwa na Makandarasi wazawa. Dkt...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

    Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya. Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wakenya katika suala la uzalendo kwa nchi zao!

    Nawalinganisha kama ifuatavyo: 1. Viongozi Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara. Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati Nyerere, Magufuli na Sokoine. Kwa sasa, kuna Tundu Lissu, Jerry Slaa, Joseph Warioba, n.k., lakini...
  6. incredible mimi

    JamiiForums Tanzania Nauchukia Utanzania wangu

    Sijawahi kujivunia Utanzania Wangu Nakumbuka nyimbo za shule za kipindi kile tulizokuwa tukiimba kwa furaha na bashasha. Tukiwa tumevalia uzi mweupe na bukta za blue, tuliimba “Mungu ibariki Tanzania” na “Tazama ramani utaona nchi nzuri” kwakweli tuliimba kwa bashasha kweli kweli. Na kwa...
  7. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

    Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Kawaida ahimiza Uzalendo, Umoja na Mshikamano kwa Wasomi Mkoani Dodoma

    🗒️ 08 June 2024 📍UVCCM HQ Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali kawaida (MCC) amehimiza Uzalendo, Upendo, Umoja, na mshikamano, Miongoni mwa wasomi na kujitoa katika kutekeleza Majukumu yao na ya kukijenga Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya zake...
  9. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Ni upi uzalendo wa kweli? Kufukia au kufukua maovu?

    Habari za wakati huu waungwana wa JF. Kutokana na hali ilivyo kwa sasa nchini, imeniwia vigumu kuelewa na kupata maana halisi ya neno uzalendo. Kumekuwa na makundi mawili ya watu, wale wanao fukua na wale wanao fukia maovu. Wengi tunajua uzalendo ni hali au tabia ya kuonyesha mapenzi au...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ni muda wa Tanzania kupitisha sheria kuwa uzalendo liwe somo rasmi

    Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda, kuithamini na kupambania nchi yake.natamani miaka mitano na kuendelea tuzalishe jamii ya uzalendo wa kweli na kuithamini nchi yetu. Mapendezekezo yangu bunge litunge sheria kwa kila mgombea awe anaenda kula kiapo jimbo kwake mbele ya wananchi kwa mkataba wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni viongozi wengi hawana uzalendo wa kweli

    Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao kwanza na kutafuta jinsi ya kujilimbikizia mali. Kitendo cha kununua magari ya zaidi ya milioni 300...
  13. Ghettominds

    JamiiForums Tanzania SoC04 Usiulize Taifa limekufanyia nini, uliza umelifanyia Taifa nini

    Naandika kutokea Ghetto hii ni story ya Ghettominds. Anaesoma hii namuomba samahani kwa kumkumbusha machungu aliyopitia, katika ngazi ya elimu ya juu yani chuo. Hii ngazi wengi humu tumepitia na hakuna asiyejua maisha ya chuo jinsi yalivyo. Hivyo basi kupitia sera ya Tanzania niitakayo nawapa...
  14. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tusichague viongozi (wabunge) kwa kigezo cha wao kuja kutatuta matatizo yetu. Tuchague viongozi waaminifu na wenye uzalendo juu ya taifa letu

    TANZANIA TUITAKAYO 1.0 UTANGULIZI Takribani miaka 63 imepita tangu Tanganyika kupata uhuru na miaka 60 ya muungano wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. Chaguzi nyingi zimepita pamoja na marekebisho mbalimbali ya katiba yamekwisha fanyika ili kuleta uongozi bora na kuimarisha demokraia nchini. Ni...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kigwangala, kumsifia Rais sio uzalendo wa kwanza, nchi yetu ni Jamuhuri sio Ufalme

    Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  18. demigod

    JamiiForums Tanzania Shabiki Wa Simba Kuishabikia Yanga, Wa Yanga Kuishabikia Simba ni Uzalendo Wa Kipuuzi

    Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga. Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili hata siku moja. Nashangaa kuona wapuuzi wakianzisha harakati za kuweka uzalendo kwenye kuzishabikia...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tumuunge mkono Waziri Ndumbaro kwenye uzalendo wa kuvaa jezi

    Simba na Yanga zimeanzishwa miaka ya 1930's, lakini hazijawahi kushinda mataji makubwa ya Afrika kwenye mpira. Baadhi ya sababu za kushindwa kushinda mataji ni pamoja na kuhujumiana zenyewe kwa zenyewe zinapokutana timu za kigeni. Huu ni utamaduni/utani wa jadi ni mbaya sawa na utamaduni wa...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
Back
Top Bottom