Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,517
- 906
Kama kweli David Kafulila aliweza kukataa tasilimu TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Tegeta Escrow.
Ni wakati Sasa chama Cha Mapinduzi CCM kumtazama kijana huyu kwa jicho la tatu kwani ni hazina kwetu kama Chama na Taifa hili.
Nashauri chama cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwani ni kweli huyu ni lulu kwa Chama na kwa Taifa.
David Kafulila ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao pendwa ya Tanzania.
Mkakati huu utakuwa na nguvu tu endapo CCM itahitaji kuchukua mwelekeo mpya wa siasa zake kuelekea 2030.
Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Pia soma hii Watanzania wanaona nini kwa David Kafulila?