uwt

The University of Washington Tacoma (UW Tacoma) is a public university in Tacoma, Washington. It is a satellite campus of the University of Washington. UW Tacoma opened in leased space in 1990 and opened its permanent campus in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Magige Bega kwa Bega na Ujenzi wa UWT Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Catherine Magige ameshiriki kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Monduli ambapo amechangia vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mashine ya kuchapisha (Photocopy Machine), kwaajili ya kukamilisha ukarabati wa Ofisi ya Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya...
  2. Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  3. Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
  4. Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Atembelea Kituo cha Afya cha Kagongwa, Kahama

    MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KAGONGWA-KAHAMA Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga ametembelea na kukagua kituo cha Afya cha Kagongwa Kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kahama,ikiwa...
  5. Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
  6. Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
  7. Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Kaliua

    MWENYEKITI UWT AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA KALIUA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda Ametembelea Hospital ya Wilaya ya Kaliua na kuridhishwa na Ujenzi wa Hospital hiyo ambapo ametoa wito Kwa Wananchi na Viongozi kuishi vizuri na...
  8. Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Kasi ya Maendeleo Jimbo la Manonga, Wampongeza Mbunge Gulamali

    UONGOZI UWT TAIFA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM JIMBO LA MANONGA UWT Taifa Washambulia Kata 8 Jimbo la Manonga na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa Bi Asya Ali Khamis Atembelea Jimbo la Manonga Kata ya Choma katika Ziara ya Kukagua Miradi...
  9. UWT Taifa Wafanya Ziara ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Igunga

    IGUNGA: "UWT TAIFA WAFANYA ZIARA YA KISHINDO, WANANCHI WASEMA ILANI INATEKELEZWA KWA VITENDO" Habari Picha: Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainab Shomari (MNEC) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti kwenye Mikutano ya kuongea na Wanachama wa...
  10. Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
  11. Mwenyekiti UWT Taifa, Mary Chatanda afurahishwa na kikundi cha Wanawake wanaofuga Ng'ombe

    MWENYEKITI UWT TAIFA NDUGU CHATANDA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA KIKUNDI CHA WANAWAKE WANAOFUGA NG'OMBE WILAYANI MKALAMA Mwenyekiti wa UWT Taifa ndugu Mary Pius Chatanda amefurahishwa na utekelezaji wa mradi wa kikundi Cha wanawake Tunza kilichopo Mkalama Mkoani Singida ambacho kimenufaika na...
  12. Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Akagua Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Itigi

    MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi iliyopo Kata ya Tambuka reli...
  13. Mbunge Cherehani Achangia Madirisha 15 Ujenzi Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kahama

    MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
  14. Mbunge Mzeru atoa milioni 10 kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo. Akikabidhi fedha hizo kwa...
  15. Singida: Mwenyekiti UWT Ashauri Vigodoro kupigwa Marufuku

    HABARI Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, ameiomba serikali kupiga marufuku miziki inayojulikana kwa jina la vigodoro kwa kuwa imekuwa ikisababisha mmomonyoko wa maadili nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya...
  16. Magodoro 30 (Milioni 2.5) Yagawiwa kwa Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AKABIDHI MAGODORO 30 (MILIONI 2.5) KWA WANAWAKE UWT WILAYA YA MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 26 Julai, 2023 amekutana na Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba na kuwakabidhi Magodoro 30 yenye thamani ya Shilingi...
  17. Mbunge Mzeru awapa tabasamu UWT Wilaya ya Morogoro Mjini

    MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI. MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini. Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
  18. B

    UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

    Fukuto huko ndani ya chama chao. Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko. Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
  19. Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  20. Kuna Mkutano Julai 22, 2023 unaandaliwa na UWT Mkoa wa Arusha kushirikisha Manyara, Kilimanjaro na Singida ukihusishwa na DP World

    Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome. Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo. UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…