uwezekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano yanga wanashida kwenye mahesabu yao ya kifedha au janja njanja

    Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa "Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu wa 2023/2024 ni 200 MILLION kitu ambacho SI KWELI. Ubingwa wa Kombe la Shirikisho ni 50M Miaka yote...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuja kukubaliana na CHADEMA juu ya NO REFORMS NO ELECTION

    Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo 1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

    Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election). Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu...
  4. JamiiForums Tanzania Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  5. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa nawaonya kuwa uwezekano ni mkubwa sana kwa fainali kufanyika Zanzibar hamkuniamini, kiko wapi sasa?

    Wengine tuna jicho la kuangalia mambo kwa umakini mkubwa na tunapotoka hadharani kusema kitu fulani kina uwezekano mkubwa wa kutokea tunakuwa tumeshajiridhisha. Mara kwa mara nimekuja humu jukwaani nikasema kuna umakusudi unafanyika katika kukwamisha ukarabati wa pale uwanja wa Mkapa. Juzi juzi...
  6. JamiiForums Tanzania Je Mohamed Sinwar kaingia mtegoni? kuna uwezekano keshadedishwa akiwa Hospital

    IDF imejaribu kumuua kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar katika hospitali ya Gaza, duru zinaiambia Shirika la habari la 'Post' Maafisa wa usalama wameamini kwa muda mrefu kuwa Mohammed Sinwar angechukua nafasi ya kaka yake, Yahya Sinwar, kama kiongozi mpya wa Hamas. IDF mnamo Jumanne 5th May 2025...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  8. X

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zinatumia mifumo tofauti ya kufanya hesabu za GDP. Kuna uwezekano mkubwa GDP ya China ni kubwa kuliko ya Marekani.

    Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports. Na GDP ya China huwa haihesabu...
  9. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

    Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
  10. JamiiForums Tanzania Msimu huu kuna uwezekano wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za kiarabu

    Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili. Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuzuia Uchaguzi kwa Maandamano siku ya Uchaguzi.

    1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500. 2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000 3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000. 4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000. 5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Miaka ijayo mtu akamuozesha mke wake mwenyewe kwa jamaa mwengine

    Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa. Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi. #UziTayari
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe nguo na accessories OG za Chanel, Hermes, Gucci, LV nk ni gharama hivi? Kuna uwezekano ata hawa mastaa wetu wanavaa fake!

    Hivi vitu vya fasheni uwa navichukulia poa, kumbe mi bado sana. Pochi ndogo sana hizi tena pair moja, ila bei CIF + TRA ya gari. Mimi kununua mkanda Million 2.6 dah bado sana. Je, sunglasses kwa 2 Millions? Kuna uwezekano ata hawa majina makubwa wanatumia fake, tena quality ya chini...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano NETO wamelamba asali?

    Wakuu huu ukimya imekaaje? NETO wamelambishwa asali na huenda ndiyo chanzo Cha ukimya wao. Vijana tuendeni tu shambani vijana wenzetu wameula Hawa na wameamua kulala mbele.
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kutumia p2 na ukapata mimba?

    Habari ya asubuhi Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo? Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

    Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
  18. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Pi network ikaja kuqa kama bitcoin?

    Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha baada ya miaka 15 ijayo kama ilivyofanya bitcon? Wataalam wa sarafu za kidigital mnaweza kuzungumza hapa
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababìsha uwezekano mkubwa wa kuachana

    Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana. Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…