Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.
Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa...
FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – KARATU MJINI
Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Hii hapa nafasi ambayo haitokei mara kwa mara.
Eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5, lipo katikati ya mji wa Karatu, sehemu yenye uhai wa biashara na mtiririko wa watalii mwaka mzima. Linapatikana...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo, amesema Serikali inapanga kuanza kupima utendaji wa kila mkoa kulingana na uwezo wake wa kuwezesha biashara na kuvutia uwekezaji.
Akizungumza katika Mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya...
Wazee kwema
Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅)
Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
Watu wengi wanapoulizia tairi, mara nyingi wanawaza bei kwanza. Lakini kama unajua thamani ya gari yako na usalama wa watu uliobeba, huwezi kuacha kuliwaza jina moja tu: DUNLOP.
Kwanini mimi nawashauri watu Dunlop? Hizi hapa ni sababu chache za kishkaji:
1. Hawa ndio mabingwa wa historia
Ukweli...
Wadau tutafakari wote pamoja,kwanin Sasa hivi kumekuwa na wanaojita washauri wa uwekezaji wengi hasa,wanashauri mambo ya hisa,hatifungani
Kwani hawashauri watu wawekeze katika uwekezaji wa viwanda na biashara Kuna nini nyuma Hadi uhamasishaji umekua mkubwa
Kila mtu nimshauri wekeza kwenye...
Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo.
Ikumbukwe Februari 16, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku alishiriki katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) uliofanyika jijini Dubai, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Afrika katika kuvutia uwekezaji wa kimataifa unaozingatia uhalisia wa kifedha na mipango ya muda mrefu.
Akihutubia mkutano...
Habari Tanzania !
Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu.
Karibu.
Y = C + S ni sawa na kusema;
Y= C+ I
Hii maana yake;
Y = Income/ Kipato
C= Consumptions/ Matumizi
S = Savings/ Hifadhi
I = Investment/ Uwekezaji
Nawaletea mambo kwa...
Juzi niliona taarifa inaenea kwenye vyombo vya habari kuhusu Mkataba wa ujenzi wa viwanda Pwani.Katika muktadha wa mkataba huo wa uwekezaji unaotajwa kufikia thamani ya Dola za Marekani bilioni 7, ni muhimu kwa Serikali kueleza wazi iwapo ilifanya tathmini huru na ya kina (due diligence) kuhusu...
London, Uingereza — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewahakikishia wawekezaji wa Uingereza kuwa Tanzania ni nchi salama, yenye uthabiti wa kisiasa na inayoendelea kutekeleza mageuzi ya kina ili kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji.
Prof...
Salaam ipo mwishoni
Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu
Lugalo pembezoni mwa shule ya Makongo uelekeo wa Mwenge kuna yard kubwa ya mjezi wa barabara imejengwa ndani ya Kambi...
Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
Habari wakuu.
Nyumba hiyo inauzwa ipo Tandika Sokoni inaukubwa wa sqm 350.
Hii nyumba ina jumla ya Frem30
Mchanganuo wake ni kama ifuatavyo hizo Frem za mbele kodi yake ni sh.150,000.hizo za ubavuni pia kodi yake ni sh.100,000.na zandani kodii sh.70,000.hakuna Frem iliyokuwa wazi zote zina...
Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo
1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote
2. Faida zao zikoje
3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
Bamako, Mali –
Nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Jamhuri ya Niger, zimezindua rasmi benki ya uwekezaji ya kikanda yenye mtaji wa awali wa faranga bilioni 500 za CFA, sawa na takribani dola milioni 895 za Marekani. Hatua hii inalenga kuimarisha uhuru wa kiuchumi wa mataifa...
Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025, iGrowth Fund umeonekana kuwa miongoni mwa mifuko iliyofanya vizuri zaidi sokoni.
Ukuaji wa Thamani ya Kipande (NAV)
✓ Tarehe ya kuanzishwa: 03 Desemba 2024
✓ Thamani ya kipande ilipoanza: TZS 100
✓ Thamani ya sasa ya kipande: TZS 138.1709
✓ Ongezeko la...
Habari maboss
Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa.
Mtaa wa pili kutoka BAHARINI
Sqm 425
Document offer ya Kazi
BIlion 1
KWA hitaji la kuona eneo
Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu.
0754693556
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.