uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Powder

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa haufai kucheza Mechi kubwa.

    Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar. Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
  2. S

    JamiiForums Tanzania "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Na final CRDB YANGA wasikubali uchezwe kwa mkapa ule uwanja sio siooo

    Kama CAF Wamesimama MSIMAMO WAOO NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final Huko nyuma walikuwa wapi na kama walikuwa na uwezo WA KUREKEBISHA mapema kwa nn wasubiri CAF ichague AMAN ndio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

    CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  8. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kama nchi we should be ashamed of ourselves kwa hili la uwanja

    Bilioni 30 zingeweza kutengeneza drainage systems za uhakika za kuzuia mvua kubwa zikinyesha ..teknolojia ambazo wangeenda hata kuchukua ujuzi hapo Zanzibar tu kua wamefanyaje wao kiwanja chao hata mvua Gani inyeshe panakua Pako kama hapajanyesha, hata tumeshindwa kuwatumia mainjinia wetu...
  9. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

    Wataalam kutoka uturuki wakikarabati pitch (eneo la kuchezea ) Benjamin Mkapa stadium
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Uwanja sio kigezo ila Quality ndio changamoto

    Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale? Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Eti Engineer mchina aliyesimamia ujenzi uwanja wa Mkapa alinyongwa kwao?

    Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa, Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ. Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake wangekuwa China wasingeliona jua la kesho
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

    Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane
  13. D

    JamiiForums Tanzania TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

    Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho. Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana. Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Yanga kelele nyingi, Simba wana nguvu, wamemtoa Kayoko kwenye mfumo, wamemtoa meneja wa uwanja aliyewazuia wasifanye mazoezi

    Tangu ile derby ambayo man of the match alikuwa Kayoko, Kayoko hajachezesha mechi yoyote Simba waliwaambia kuwa huyu dogo hafai kuchezesha hata marede akaimbe singeli, ushahidi wa audio na video akipanga njama za kuibeba uto ukawekwa mezani. Kayoko amepotea Meneja wa uwanja aliyewazuia Simba...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi amteua Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao Makuu ya Wizara hiyo aliyekuwa Meneja wa Uwanja huo Bw. Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hersi Matches zilizobaki za Yanga zichezwe kwenye Uwanja wetu

    Alisema katika miaka yake hii minne uwanja utapatikana afe kipa afe beki. Napendekeza umaliziwe haraka matches zilizobaki zichezwe kwenye uwanja wetu. Ndo maana unaona anatu keep busy na hatuchezi ili tusihoji mambo ya msingi. Tunakazana kukata viuno HATUCHEDHIII....
  17. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira,Je, tupo katika uwanja wa ndoto?

    👉🏾Asubuhi, redio zinawashwa utasikia "Simba leo wamelala," "Yanga wameng'ara," "Mechi ya marudiano itakuwaje?" Saa nne bado tuko hapo, mchana hadi jioni, sauti za mpira, kamari, na kubeti zikitawala. Mtangazaji anapaza sauti, lakini si kwa kilimo, si kwa viwanda, wala kwa elimu ya uzalishaji...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uwanja mweupe na timu za kuwasindikiza kuhalalisha ushindi wenu na kupongeza pointi mtakazopata

    Miaka yote sijawahi kuona Ccm mkiandikisha wanachama wenu kwa kuwataka waje na kadi ya mpiga kura wazi wazi kama sasa,kunauhusiano gani wa kusajili wanachama wenu ili waoate kadi za ccm hadi waje na vitambulisho vya kura?Mbona Chadema wamesajili hawakuwahi kuhitaji kadi za mpiga kura?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  20. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona shinikizo la kupeleka Mchezo Wa Maafande vs Mwamposa FC Uwanja Wa mkwakwani kubuma, Sasa Wanamsumbua mchezaji mwandamizi (Kona goli)

    Uwanja Wa Kambi ya jeshi unalindwa hakuna mtu(shabiki) anayeweza kwenda usiku kuuchimba chimba kama wafanyavyo kwenye viwanja Vingine. Hawa mabwana hawaishiwi mbinu, za ndani kabisa tena za moto kutoka kwenye vyanzo vyangu kuntu (sitomtaja) toka majuzi wanamtafuta mchezaji Wao captain Fantastic...
Back
Top Bottom