uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Houthi waongopa kuhusu shambulizi la uwanja wa ndege wa Ben Gurion na mbeba ndege-vita USS Harry Truman.

    Waasi wa Houthi wanadai kwa uwongo kuwa waliweza kuushambulia uwanja wa ndege wa Israel Ben Gurion, mbeba ndege-vita USS Harry Truman ya Marekani madai hayo ya uongo yalitolewa kama ifuatavyo; Msemaji wa jeshi la Houthi Yahya Saree alijigamba kwamba usafiri wa anga katika uwanja huo wa ndege...
  2. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Mbogamboga uwanja ni wetu - hakuna tena kelele za No reform no election!

    Mwali tunae Oktoba na tunatamba nae. Hivyo kuanzia sasa hadi Oktoba Media zote, Wasanii, wananchi wote wapi upande wetu. Tupewe nini tena?
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  4. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wanashindwa vipi kuwa na uwanja kama huu wa jkt

    Nikiangalia huu uwanja ni standard sana japo ni WA kawaida kabisa Sasa hizi team zinashindwa vipi kupata uwanja mzuri kama huu!?
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  6. EricMan

    JamiiForums Tanzania Uwanja Wafagiwa na vibrashi vya elfu tatu

    Sisi Tunaona ni kawaida ila huko nje tunaonekana ni watu waajabu sana
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Huu uwanja ndio ulifanyiwa marekebisho??

    Ile pitch mbona mbovu Sana, kuna ujanjaujanja pale umetokea, uwanja kama shamba la mpunga.
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hii pitch ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio itatumika kwa michuano ya CAF 2027? Imejaa matope

    Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanjala atangaza mpango wa maboresho makubwa Uwanja wa Sokoine baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa MREFA

    Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili kuufanyia marekebisho makubwa Uwanja wa Sokoine hususani eneo la kuchezea (pitch) kwani Uwanja huo si...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga/Masry tuvae Kijani Next week tukajaze uwanja kusaport Al Masry

    Sisi Yanga tupo upande wa wanakijani wenzetu, na tutajaza uwanja Kwa kuvaa nguo zetu za kijani na tutasaport almasry. Simba kashakufa mbili, mechi ya Kwa Mkapa anakufa moja, sisi wanayanga almasry tunahasira sana na wakimbia mechi
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Aliyeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kufunguliwa anapaswa kuchunguzwa. Uwanja bado haufai

    Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

    Ukweli useme Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi? Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA kutumika ni kushusha hadhi ya ligi yetu. Uwanja pitch mbovu kama...
  15. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

    Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8. Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas waushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion.Ndege zashindwa kutua

    Habari za karibuni kabisa zinasema uwanja mkuu wa ndege wa Israel wa Ben Gurion umepokea makombora kadhaa kutokea upande wa Gaza ikidhaniwa ni Hamas ndio walioyarusha. Hapo juzi na mapema leo Houth nao walirusha makombora ya Balistic kutoka Yemen kuulenga uwanja huo huo na kusababisha vingora...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga wafikia Asilimia 75, kukamilika Juni 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi sasa ujenzi wa kiwanja hicho umefikia asilimia 75 ambapo njia za kuruka na kutua ndege...
Back
Top Bottom