Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Narudia tena Karia na tff wamefanya kazi kubwa sana kusimamia league kuu maana pitch kama ya JKt ,Kwaraa,Kmc ,Kirumba ,Namungo,mkwakwani ,Chamazi complex ukizipeleka Kenya ni international standard
Kuna jambo linanishangaza kidogo, embu tusaidiane.
Kila siku naona ziara za kutembelea ujenzi wa uwanja mpya wa Arusha, ila sijawahi kuona wala kusikia maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma. Je, uwanja huo haupo katika plan za AFCON?
Pia nina wasiwasi sana hizi ziara za uwanja wa Arusha...
Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu wa Sana'a na ndege za kundi la kigaidi la Houthi.
Ndege zilizolengwa zilitumiwa na utawala wa...
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media.
The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days.
Earlier this month, also after repeated attacks...
Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu.
Vinginevyo kaa kimya.
FT aggregate 1:3 😀
Moja ya mambo yanayorudisha nyuma mabadiliko ya kisiasa ni watu kufuatilia sana mambo ya mpira wa miguu. Simba angechukua kombe uko uwanja wa Aman, watu wangeongelea tukio hili kwa muda mrefu sana.
Hakuna uwekezaji wa kutosha kuwezeaha kuchukua vikombe vya Afrika lkn tunaongea sana.
Sasa...
Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto.
Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu.
Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa...
MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA
▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini
▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika
▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya
Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa
Mimi nikiwa...
Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma
Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu.
Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya
Madhaifu ya serikali ya CCM...
Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha?
Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa...
Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia
https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar.
Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji.
"Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.