uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

    Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
  2. JamiiForums Tanzania Putin kwa mara ya kwanza alia hali ilivyo ngumu kwenye uwanja wa mapambano huko Ukraine

    Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia... Na atakoma ubishi maana kipindi cha baridi kali kinakaribia, wanajeshi wake wako kwenye nchi ya watu, watu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Vuka na Chako la Mtume Mwamposa lamfukuzisha kazi kwa uzembe Meneja wa Uwanja wa Mkapa

    Salum mtumbuka, Ametambulishwa rasmi kuwa Meneja mpya wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Daniel Madenyeka ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo. Utambulisho huo umefanyika siku moja baada ya kutokea kwa tukio la kushindwa kuondolewa kwa jukwaa la injili kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

    Mchezo umemalizika Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama GOOOOOOOOOOOOOOOOO 85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake 75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 74' Geita...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe unataka kuujaza Uwanja wa Mkapa, kuaminika na kuabudiwa na wengi tembelea nchi hizi

    Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium. au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
  6. JamiiForums Tanzania Je Mo ataondoka na Uwanja wa Bunju?

    Mo Arena Bunju ni Uwanja wa Simba au wa Mo? Je, Mo akiuza hisa zake ataondoka na uwanja wake? Maana sio Uwanja wa Simba ni Uwanja wa Mo! Cc. Mbumbumbu fc😀
  7. JamiiForums Tanzania Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

    Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango 85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona 80'...
  10. JamiiForums Tanzania Ule uwanja wa makontena wa Qatar unaweza kufika nchini mapema kuliko tulivyodhani

    Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao. Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza. Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
  11. JamiiForums Tanzania Saeed Abdullah Bakhresa, Mtanzania aliyejenga uwanja wa Lusail Qatar unaotumika Kombe la Dunia

    Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa. Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi wasio wazawa wa Qatar walioajiriwa ili kutoa kile kilichoonekana kama kazi isiyowezekana kwa wakati...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Wakuu Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini ,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road, Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza...
  13. JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Chato ni chaguo sahihi la Bukoba

    Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
  14. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums. Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja? Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya ghorofa Arusha yenye uwanja wa kutosha

    Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
  16. JamiiForums Tanzania Tusirudie kosa Uwanja wa Ndege wa Bukoba Ufanyiwe maboresho haya

    Tunajua mzee Kato hakuwapenda wahaya maana walimuita mshuti kwakuwa wote walio hamia kutoka Bahima , Babito, Wanyarwanda na warundi wanaitwa washuti na kazi zao kubwa ni kufanya kazi mashambani, bahati mbaya mshuti alikuja akatoboa akawongoza mpaka wao! Kwanza akazima ndoto nyingi za mkoa ule...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni uzandiki. Ina maana uwanja wa ndege wa Chato ungejengwa Bukoba ndio ajali isingetokea?

    Huu ni uzandiki usiofaa na usio na kipimo kabisa. Yaaani mnakuwa wanafiki na wazandiki
  18. JamiiForums Tanzania Vikosi vyetu vya Zimamoto na Uokoaji ni kwaajili ya Maonesho tu pale Uwanja wa Taifa?

    Hawa watu wanakuwaga na sifa sana kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru, huwa wanatuonesha umahiri na ukakamavu wao, cha ajabu yanapo tokea majanga huwa hawaishiwi visingizio. Halafu kuna kipindi huwa wanateketeza mali za Umma kuandaa mazoezi ya utayari, yaani wanaandaa ajali feki ya ndege au...
  19. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Bukoba bado umefungwa. Huduma zaweza kurejea Ijumaa

    Uwanja wa ndege wa Bukoba bado umefungwna na hakuna ndege ya abiria inayotua. Pamoja na Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa jana kueleza umma kwamba ndege zinaweza kutua, lakini kampuni mbili za ndege; ATCL na Precision hazijapeleka ndege zao Bukoba. Ndege ya ATCL iliyokuwa itue leo...
  20. JamiiForums Tanzania Bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilipangwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera

    Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…