Mchakato wa kukabidhi usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni ya Kihindi, Adani Enterprises, unaendelea, huku kampuni hiyo ikianzisha kampuni tanzu, Airports Infrastructure PLC. itakayokuwa na jukumu la kuendesha, kusimamia, na kuboresha Viwanja vya Ndege...