Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000.
Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo.
Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
Anonymous
Thread
ilala
kipunguni
kupisha
malipo
mashariki
mwaka
ndegeuwanjauwanjawandege
TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Guadalajara International Airport nchini Mexico umefungwa ghafla kufuatia taarifa zisizothibitishwa kuhusu kifo cha Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kama El Mencho.
El Mencho anatajwa kuwa kiongozi wa Jalisco New Generation Cartel, moja ya makundi yenye...
Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto.
Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake, waliendelea kushambulia ng'ome za kundi hilo katika maeneo mbali mbali, Kivu kusini na kasikazini...
Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu
Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
Picha za kampeni za Rais Museveni zipo kote kwenye uwanja mkuu wa ndege wa Uganda lakini si za Bobi Wine au wagombea wengine. Kaulimbiu yake ni “kulinda mafanikio” baada ya miaka 40 madarakani.
======
President Museveni’s campaign posters are all over Uganda’s main airport but not Bobi Wine or...
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.
Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar...
Kutokana na hali ya kiusalama inayoendelea nchini humo, baada ya kuzidiwa nguvu na M23, njia ya ndege kutua iliyokuwa inatokea Uvira, imeilazimu nchi hiyo kusitisha huduma kutokana na hofu ya usalama wa anga, ikiwa kuna uwezekano mkubwa wa M23 kuwa tayari mitambo ya ulinzi wa anga imeshawekwa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Uwanja wa ndege Mugumu Serengeti kama sehemu ya kutimiza adhma ya Chama Cha Mapinduzi ya kufikisha idadi ya watalii Milioni nane wanaoitembelea Tanzania kwa mwaka kufikia...
Mgombea ubunge wa Jimbo la sumbawanga mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Aesh Khalfan Hilaly ameendelea kufanya mikutano ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi na akiwa katika kata ya Katandala, ameinadi ilani ya uchaguzi ya CCM na kueleza vipaumbele vyake endapo atapewa ridhaa na kuchaguliwa...
✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika Kaskazini.
Ndege hiyo ilibeba watoto 125 (mtoto wa mwisho akiwa na umri wa miezi 9 tu), wasio na...
Mtu mmoja alikwama kwenye uwanja wa ndegekatika jiji fulani, akisubiri ndege ya kuunganisha safari.
Kama ilivyo kwa wengi wetu, alitafuta WiFi ya bure ili kupotezamuda. Akaona WiFi inayoitwa “Free Airport WiFi” na akajiungabila kufikiria mara mbili.
Ndani ya dakika chache baada ya kujiunga...
Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa
Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana waliowahi kufanikisha kile alichokifanya Emmanuel Nwude, raia wa Nigeria ambaye alitapeli benki kubwa ya...
Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje...
Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je, Polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama wa Simba labda wasingefanya vurugu?
Nimetafakari juu ya hili kwa sababu Chadema au ACT Wazalendo...
Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja huo (CHICO) kuhakikisha anakamilisha kazi za kufunga taa za kuongozea Ndege pamoja na Kumalizia...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea kwa kasi.
Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mhandisi Besta amesema ujenzi wa uwanja huo umefikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.