uwanja wa mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League

    Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio...
  2. JanguKamaJangu

    Mtaalam wa Nyasi asema asema nyasi za Uwanja wa Mkapa zina 'Fangasi' lakini bado zina ubora wa mechi kuchezwa

    Erick Mpoki ambaye ni mtaalamu wa masuala ya nyasi za uwanjani ambao kitaalamu wanajulikana kwa jina la “Football groundsman” amesema amekuwa akifanya kazi hiyo tangu mwaka 2012 “Elimu hiyo ameipata kwa Wachina na Wazungu kwa vitendo, tukiwa kwenye kazi ndipo tumejifunza hapohapo...
  3. Roving Journalist

    Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Uwanja wa Mkapa kutia aibu kwa uchafu

    Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023. Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
  4. J

    CHADEMA inashindwa kuujaza uwanja wa shule ya msingi halafu wanamshambulia Hayati Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Mkapa! Nchi ngumu sana hii

    CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani. Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa...
  5. JanguKamaJangu

    FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

    Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu. AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
  6. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

    Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo Mchezo umeanza 5' Coastal wanaonekana kuwa makini 10' Kasi ya mchezo siyo kubwa 12' Matokeo bado ni 0-0 15' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi 27 Azizi Ki anapiga shuti kutoka nje ya 18, linapaa juu 28'...
  7. C

    Tamasha la Vuka na Chako la Mtume Mwamposa lamfukuzisha kazi kwa uzembe Meneja wa Uwanja wa Mkapa

    Salum mtumbuka, Ametambulishwa rasmi kuwa Meneja mpya wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Daniel Madenyeka ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo. Utambulisho huo umefanyika siku moja baada ya kutokea kwa tukio la kushindwa kuondolewa kwa jukwaa la injili kwenye...
  8. C

    Kama na wewe unataka kuujaza Uwanja wa Mkapa, kuaminika na kuabudiwa na wengi tembelea nchi hizi

    Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium. au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
  9. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

    Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango 85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona 80'...
  10. Execute

    FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

    Ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki hapa Tanzania, kule Angola na Afrika Mashariki kwa ujumla. Mnyama mkali anashuka dimbani akiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao matatu kwa moja ugenini. Anaenda kumaliza ngwe na kuingia hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa wa...
  11. Championship

    FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama 19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
  12. C

    Mechi za Usiku Uwanja wa Mkapa mwanga ni mdogo

    Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania. Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Alichofanyiwa RC Makala na watumishi leo uwanja wa Mkapa hatokuja kuisahau

    Habari! Leo watumishi wa taasisi na ofisi mbalimbali zilizopo mkoa wa Dar es salaam tuliungana Uwanja wa Mkapa kusheherekea siku yetu kama ilivyo ada. Sasa ile kaanza kuongea katibu wa TUCTA MKOA watu wakaanza kuondoka kwa nguvu. Binafsi sikupenda ila baada ya kiongozi wetu nasi kutuambia...
  14. Ghazwat

    CAF yaruhusu mashabiki 60,000 Uwanja wa Mkapa, mechi ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu mashabiki 60,000 kuingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mtanange, hatua ya Robo Fainali kati ya Simba SC kutoka mitaa ya Msimbazi Jiji Dar es salaam, dhidi ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa...
  15. John Haramba

    CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mechi ya Simba Vs RS Berkane, Uwanja wa Mkapa

    Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
  16. Ghazwat

    Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
  17. Kipenzi Changu

    Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  18. K

    Yanga Day 2021: Tamasha la Koffi Olomide kufana leo Uwanja wa Mkapa

    Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi kuu SImba linatarajia kufana na kujaza wapenzi wengi wa muziki wa Kikongo. Vile vile Club ya Yanga...
  19. Ghazwat

    Vodacom Premier League VPL | Simba SC Vs Mbeya City (4-1) | Benjamin Mkapa

    Patashika ya Ligi Kuu Kuendelea kupigwa leo Juni 22 2021, ambapo Mabingwa wa Nchi wanawakabili Mbeya City Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam. Mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu ikihitaji alama tatu muhimu ili kuweza kujiweka sawa...
  20. Ghazwat

    FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

    Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya robo fainali, kupigwa leo Jumatano ya Mei 26, 2021 ambapo Mabingwa Watetezi Simba SC, wanawakaribisha Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo unatazamiwa kuwa mkali sana kwa kila timu...
Back
Top Bottom