uwanja wa mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Serikali kuhusu Uwanja wa Mkapa kwa mechi ya fainali ya Simba Vs Berkane

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na hatua ya marekebisho na ukarabati wa miundombinu, ufungwaji wa viti vipya, uboreshaji wa vyumba vya...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Eti Engineer mchina aliyesimamia ujenzi uwanja wa Mkapa alinyongwa kwao?

    Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa, Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ. Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake wangekuwa China wasingeliona jua la kesho
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

    Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi haitanii, yatoa ratiba ya derby ya Kariakoo. Sasa kupigwa Juni 15, 2025

    Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo. Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15, 2025, saa 11:00 Jioni uwanja wa Benjamin Mkapa. Hii inajiri masaa machache baada ya Klabu ya Yanga...
  6. FYATU

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa uandaliwe mapema,fainali isifanyike nje ya kwa Mkapa.

    Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kama itaingia fainali ya CAFCC, kwa hatua ya dharura, Simba SC ichukue hatua hizi za kuzuia maji uwanja wa Mkapa

    Iwapo Simba itaingia fainali ya CAFCC, hakuna mwanasimba au mpenda soka yoyote nchini anayejitambua atakayefurahi kuona Simba inakosa fursa ya kutumia uwanja wa Mkapa, hasa ukizingatia pia mechi ya pili ya kukabidhiwa kombe itafanyikia katika uwanja wa nyumbani. Litakuwa ni kosa la karne na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ufungaji wa Viti vipya 62,000 Uwanja wa Mkapa unaendelea, vitakuwa na muonekano wa bendera ya Tanzania

    Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu na Kijani. Hatua hiyo ni sehemu ya maboresho makubwa yanayotekelezwa kwa lengo la kuboresha...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

    Salamu kwenu wadau wa mpira. Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza. Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa. Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tukitaka ukarabati wa uwanja wa Mkapa ufanyike tuubadili jina!

    Mimi ni mmoja wa watu wa mwanzo kupiga kelele kuhusu ukarabati wa uwanja wa Mkapa. Haya tunayoona sasa ya Simba kushindwa kutumia uwanja ni matokeo ya watu kutuona wengine tuna viherehere na kutotuunga mkono mapema wakati tunayapigia haya kelele. Kuna fedha nyingi zimewekwa kwenye ujenzi wa...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Chiwelesa awaka Bungeni Uwanja wa Mkapa kufungwa, ataka uboreshwe haraka kwa Nusu Fainali

    Mbunge wa Jimbo la Biharamlo Magharibi, Ezra Chiwelesa akiipongeza Klabu ya Simba na Benchi la ufundi Bungeni ameitaka Serikali ifanye jitihada za haraka kuboresha uwanja wa Mkapa ili mechi ya Nusu Fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Stellenbosch ichezwe hapo. Pia, Soma: Uwanja wa Benjamin Mkapa...
  13. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia uwanja wa Taifa na ukiambiwa ni billioni 30 zimetumika karibia mwaka ulikua unarekebishwa viongozi muwe na huruma hata kidogo

    Ukiangalia uwanja wa Taifa ulivyo sasa utagundua watu wanapiga hela a.k.a kutafuna nchi bila huruma viongozi muwe na hata chambe ya huruma hata kidogo Inaumiza sana billion 30 ndo zimeenda hivyo aisee kuna wakati unajuta kuzaliwa afrika inaumiza sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga walifuata nini uwanja wa Mkapa wakati Serikali inaongea na viongozi wao, mbona utoto mwingi sana?

    Leo kulikuwa na kikao pale Benjamin Mkapa, walianza kuitwa viongozi wa Yanga wakaongea yao na baadae wakaitwa Simba wakaongea yao, wote waliitwa kwa nyakati tofauti. Naipongeza sana serikali kwa jitihada za kuleta amani katika mpira wetu, Kabudi ni msomi wa sheria, alikuwa anafanya dispute...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mlijifanya wageni Mkataka kukagua uwanja na kufanya Mazoezi ya Mwisho. Haya sasa endeleeni kuwa wageni katafuteni uwanja wenu

    Malipo ni hapa hapa. Haya ni Matokeo ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March hakuna tena Kwa Mkapa hatoki Mtu. Nendeni Burundi huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Msigwa Atoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Hata hivyo...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  18. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

    Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga Nini maoni yako? soma...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yaitisha kikao cha dharura kujadili malalamiko ya Simba SC na kususia mechi ya dabi

    Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC. Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa

    Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na...
Back
Top Bottom