uwanja wa mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

    Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya robo fainali, kupigwa leo Jumatano ya Mei 26, 2021 ambapo Mabingwa Watetezi Simba SC, wanawakaribisha Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo unatazamiwa kuwa mkali sana kwa kila timu...
  2. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Hivi itakuwaje kama Simba SC akapindua meza Kwa Mkapa?

    Habari. Nimewaza hapa haraka haraka hizi kelele za hawa wanamsimbazi/wamatopeni siku ya kesho wakiweza kupindua meza? Sijui ujasiri wameutoa wapi pamoja na kipigo cha mbwa koko ila bado wana kelele hadi sasa. Sasa itokee ndio wamepindua meza kibabe itakuwaje mtaani? Ila haya yote ni kujipa...
  3. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

    Patashika ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) linapigwa leo Mei 1, 2021 kwenye Uwanja wa Mkapa, ambapo Mabingwa Watetezi, Simba SC wanakwaruzana na Kagera Sugar katika mchezo wa hatua ya 16 ya michuano hiyo. Kwenye mchezo wa leo Mnyama Mkali Mwituni, Simba SC anapewa nafasi kubwa ya...
  4. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021 Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo...
Back
Top Bottom