uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Watanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

    Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana halikufanya kitu sasa hivi linasema vijana. Yaani huwa nashangaa pale jitu limepigwa na maisha...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini hawakamatwi kwenda kulisaidia Jeshi la Polisi baada ya kutenguliwa? Ni mpaka wawe wapinzani?

    Wakuu, Huyu ni kiongozi wa pili kutoka CCM ambaye anatoa kauli tatanishi kuhusu kupoteza watu pamoja na watu wasiyojulikana, lakini wanaishia kutenguliwa na kuonywa tu na hakuna hatua nyingine inachukuliwa dhidi yao. Wa kwanza alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, akasema wakiwapoteza watu...
  3. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini huyu Mheshimiwa asijiuzulu kuonesha uwajibikaji?

    .
  4. I

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yanapaswa kufanywa ili kuhakikisha Uwajibikaji kwa Vyombo vya Dola

    Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima: Suala la kuminywa haki za Wamasai wa Ngorongoro si sahihi

    Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki zao. "....leo hii tunapozungumza ndugu zetu Wamasai wa kule NGORONGORO wanatuma ujumbe mbaya wenye...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukakuta mambo haya yanafanyika katika nchi bora zinazojielewa

    Haya mambo ya ajabu yanashangaza sana, huwezi kuta haya mambo ya kijinga yanafanywa na viongozi huko kwa wenye IQ 100+ Pia soma: Nchi yenye IQ kubwa Duniani Hata hiyo namba tuliyonayo nahisi wame tupendelea tu. Rank Country/Region IQ 1 Hong Kong * 106 2...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na FAIDA ya kuwa karibu na Mtoto wa Rais

    Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why? Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni. Rostam Aziz ameendelea kutisha wawekezaji wazawa nchini, Sawa Kwenye Sukari ametumia kampuni za...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania CCM jitahidini kuweka uwazi na uwajibikaji katika kodi za wananchi,nina sisitiza hakuna mbadala wenu.

    uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya uongozi,uadilifu,utekelezaji wa shughuli za kijamii na kuweka mfumo zuri kati ya serikali na wananchi,inapotokea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

    Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking! Pia soma: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi...
  10. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

    Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo' Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo, wanakamatwa na tanpol bila sababu za msingi, constitution inabakwa out in the open. Kodi/tozo zimekuwa...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Waafrika bila shaka tunaanza kujitambua

    AMANI INAPIGANIWA UHURU HUPEWI BALI UNAPIGANIWA/AFRIKA WAMEJAA MATAPELI. ✓Julius MALEMA ANAKWAMBIA ya kwamba Mataifa ya Afrika magharibi wakiwa huru na kuachana na Mfaransa basi Mfaransa lazima ataangukia Pua katika Siasa na uchumi WA Dunia/Ufaransa ni matapeli Wa MDA mrefu Sana uko Afrika...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki wanachokifanya DP WORLD bandarini, maadui zetu wakubwa ni viongozi wetu walioruhusu upuuzi kudumu muda mrefu

    Wananzengo, mu Hali gani? Kwa masikitiko makubwa Leo nawatangaza hadharani maadui wakubwa wa taifa letu. Laiti tungekuwa na uongozi imara tungekuwa mbali sana kwenye mafanikio ya kiuchumi. DP WORLD wamepewa bandari bure, wamepewa na vitendea kazi bure. Leo wameongeza Terminal Trucks kumi na...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Bora nikae kimya milele kuliko kupigania haki ya Watanzania!

    Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu. Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha. Pia soma: SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kusuasua kwa harakati za ukombozi nchini ni matokeo ya uongozi dhaifu

    Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia? Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa? Kwamba tumefikia hatua ya kuwaacha hata wapuuzi kuwanyanyapaa wenye akili zao? Na Bado tupo tupo tunakenua? Ama kwa hakika...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina tatizo gani mpaka viongozi washindwe kuwajibika ipasavyo?

    Wakati mwingine ukifikiria maamuzi ya watendaji wa nchi hii yatakushangaza. Kwa mfano: Bunju mwisho stand ya mabasi, walikuja wakasema mabasi yatoke yawe yanapaki barabarani watengeneze barabara na stand. Imepita zaidi ya miezi mitatu hakuna matengenezo ya stand wala nini na magari yanaendelea...
  16. El imran

    JamiiForums Tanzania Kauli za kipuuzi zinazotolewa na viongozi kukwepa uwajibikaji

    1. Serikali imejitahidi sana 😪😪 2. Ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya nini?😥😥 3. Sio kazi ya serikali kumletea mwananchi maendeleo binafsi, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira. 😕😕😕 4. Tanzania ndio nchi pekee yenye kiwango kidogo cha ———, mmeona nchi X, Y, Z?😠😠 5. Deni letu ni...
  17. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Hakuna uwajibikaji Afrika

    Abraham Lincoln-democracy is a government of the people, for the people by the people. Ludovick Uttoh- maoni yake kusema kuwa kila kitu kinafanywa na mtu mmoja serikalini. (Sijakopi kama ilivyo) Tanzania kila kitu kina fanywa na rais hata kama kimefanywa na mtu mwingine na yeye anapenda. Mfano...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo siku yoyote mmiliki wa nguo anaweza kuichukua!

    Rais Samia amewaonywa Viongozi wote walio pewa dhamana kukumbuka kuwa cheo ni sawa na nguo ya kuazima hivyo wanapaswa kutenda kazi kwa uadilifu na kwa masilahi ya nchi, ameyasema hayo wakati akiwaapisha viongozi walio teuliwa hivi karibuni baada ya utenguzi. Pia soma: Mpango: Kiongozi usifikiri...
  19. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Kawe inatutia hasara wenye Daladala, Mashimo yanavunja Spring wakati wanakusanya 1,000 kila siku

    Wakuu, hivi Viongozi wa Kawe wanatuchukuliaje tunaotumia Kituo cha Daladala Kawe? Kituo halifanyiwi matengenezo yoyote wakati kila siku watoza ushuru wanachukua Tsh. 1,000 kwa kila Daladala inaingia kituoni. Hizo hela zinakwenda wapi? Pia soma: Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha...
  20. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zifanye nini cha tofauti ili kuondoa tatizo la ajira nchini?

    Takwimu za Benki ya Dunia na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (REPOA) zinakadiria takriban watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo wanaopata kazi ni kati ya 60,000 hadi 200,000 tu Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zinafanye...
Back
Top Bottom