Na Samwel Marwa (Mwandishi wa Habari na Mtaalam wa Mawasiliano ya Umma).
"Naishauri serikali kuchukua hatua za pamoja na za haraka zaidi ili kukomesha vikundi hivi vya maharamia 'Mamayao' ili kulifanya Ziwa Victoria kuwa eneo salama zaidi kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi."
Tanzania...
Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp...
Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda.
Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
Hapo mwanzoni kulikuwa na athari kubwa zinazotokanana uvuvi haramu, watu walipata ulemavu wengine wakipoteza maisha, kemikali zilitumika kuulia samaki kisha watu kutumia kemikali hizo zinazobaki kwenye samaki, hali haikuwa nzuri.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa.
Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho.
Lakini tija ni ndogo na kero
Na hii inaibua nafasi za rushwa maana kuna wavuvi huingia ziwani na kuvua kipindi hicho cha...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega.
Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya...
ULEGA AANIKA FAIDA MKUTANO WA OACPS
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kufanyika kwa mkutano wa OACPS nchini Tanzania kutasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua sekta ya uvuvi na kuchechemua uchumi wa Taifa kwa ujumla.
Waziri Ulega amebainisha hayo wakati akifungua Mkutano...
Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki.
Pili Ziwa Victoria imechafuliwa na kila aina ya uchafu na hivyo kupelekea kutozaliana kwa samaki. Kutokana na sababu hizo...
BANDARI YA UVUVI KILWA KUTOA AJIRA ELFU 30
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika...
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar.
Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia kuleta ustawi wa sekta ya kilimo na uvuvi nchini, pia hapana budi hatua za haraka kuchukuliwa za...
Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
TEKNOLOJIA INAVYOBADILISHA SEKTA YA UVUVI NA KUJENGA TANZANIA IJAYO.
Sekta ya uvuvi inashuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na Matumizi ya teknolojia katika shughuli zake.kupitia Matumizi ya drones,vifaa vya kiotomatiki sensors na IoT, teknolojia ya satellite ,uvuvi wa mbali...
Habari Wana jf,
Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya UBUNGO naitaji kazi ya uvuvi mana ndio ninayo ipenda pia iki patikana piki piki ya mkataba au daywaka nitashukulu, elimu yangu ni chuo kikuu.
Phone number 0785598033
Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania.
Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
Kuna changamoto kadhaa ambazo zinakabili sekta ya uvuvi nchini Tanzania. Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na:
1. Uvuvi haramu: Uvuvi haramu umekuwa tatizo kubwa sana nchini Tanzania ambapo wavuvi hawafuati sheria na taratibu za uvuvi zilizowekwa. Hii husabisha upungufu wa samaki na kuathiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.