uvuvi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika Sekta ya Kilimo na Uvuvi

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 18: Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Waziri wa Kilimo, Mali Asili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri amefika kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar. Mmanga anakuwa mgombea wa 18 kuchukua nafasi hiyo kupitia CCM.
  3. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa uvuvi kupata ajira kimataifa

    WATAALAMU wa vyombo vya uvuvi nchini wataanza kuajiriwa kitaifa na kimataifa, baada ya Bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa viwango vya mafunzo na utoaji vyeti kwa wafanyakazi wa vyombo vya uvuvi wa mwaka 1995 Mawasiliano, Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, alisema kuridhiwa kwa mkataba...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Wakala wa Vipimo

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, na Wakala wa Vipimo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 4 kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili. MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzishwa Wakala wa Uvuvi Tanzania kwa mwaka 2020

    Makujumu makubwa ni: 1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila Wilaya na kuwa na species mbalimbali 2. Kusimamia uzalishaji wa samaki kwa kuzingatia taratibu za kisayansi 3. Kutafutà masoko ya bidhaa za samaki kwa kuzingatia mahitaji yaliyopo 4. Kuandaa takwimu za samaki pamoja na mahitaji ya...
Back
Top Bottom