Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli
Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
NAUNGANA NA SPIKA NDUGAI, VIJANA WENGI SIO WAAMINIFU, TENA WAVIVU
Na, Robert Heriel
Kauli ya SPIKA NDUGAI ni kauli thabiti yenye ukweli kwa 100% ndio maana naungana nayo.
Ndugai anamadhaifu yake mengi tuu lakini kwenye hii kauli yake yupo sahihi. Vijana wengi watampinga, watamtukana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.