Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye .
Amesema mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia huku akisema watu hawa wapo ikiwa ni siku chache zimepita wakati wakiendelea...
Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya...
Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo
Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao
Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
WATEUENI WAGOMBEA AMBAO CCM HAITAPATA SHIDA KUWANADI - KAWAIDA MWENYEKITI WA UVCCM (T)
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Ali Kawaida amewataka wajumbe wa kikao cha halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Kagera kutenda haki kwa kuwapitisha wagombea udiwani ambao...
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Ndg. Shabani Lugendo amewataka vijana wote wa UVCCM Wilaya ya Handeni kuhakikisha wana vunja makundi ya kiuchaguzi ndani ya Chama na kuwaomba wasubiri jina la mgombea atakaye pendekwzwa na Chama
Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha...
Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar watakaowakilisha Vijana kwenye Bunge la Tanzania, leo asubuhi ya August 2 2025, ametangaza matokeo ya kura zilizopigwa usiku wa kuamkia leo ambapo kwa Tanzania Bara wamepatikana Wagombea sita.
1. NG’WASI KAMANI - KURA...
Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara.
Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma
Wajumbe Mbalimbali wa Mkutano Mkuu Wa UVCCM hapa Mtumba Dodoma, Kwenye Mkutano Mkuu Maalumu , ambapo Leo Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wanapiga kura kuchagua Wabunge wa Viti Maalumu watakaowakilisha Vijana wa Chama Hicho
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shamira Mshangama amechukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga.
Shamira amechukua na kujeresha fomu hiyo Julai 2, 2025 kwa Katibu wa UVCCM Mkoa wa Tanga, Ibrahim Kandumila katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
KILIMANJARO: Wakati Joto la Siasa likiendelea kupanda kwakasi hapa nchini kuelekea uchaguzi mkuu Octobar 2025, Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro Chifu Yuvenal Ole Shirima ameeleza kuwa na yeye tayari ameshakiandikia chama chake barua yakuomba ridhaa yakutia nia ya kugombea...
Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na kuwataka wananchi wote hususani vijana kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki...
Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu...
wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.