Naandika haya baada ya kuona Kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa na UVCCM wakijiita masheikh au wahaziri wa kiislamu,
UVCCM hao wamekua wakitoa shutuma nzito kwenda kwa Baraza la maaskofu Tanzania - TEC kwamba TEC ndio wanahusika na kuandaa maandamo yaliyofanyika siku ya uchaguzi mkuu 29 October...
Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi...
Tunawakaribisha sanaaa kwenye MAANDAMANO ya Tuliouliwa Ndugu zetu, karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya sisi tunaowatafuta Maiti zetu, Karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya Sisi ambao Maiti zetu zimechomwa na kuyeyushwaaaa hata zisionekane.
Karibuni Sanaa sanaaaaa .
Na sisi Maandalizi yetu...
Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ...
Shida ya Nchi hii ni CCM
Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara..
Kwanini?
Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza,
Utu/watu baadae...
Hiyo ndio slogan yao..
Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote.
Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa
KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
"Waliposhiriki vurugu, wengine walipoumia, ilitakiwa wapelekwe zahanati zilizopo jirani, lakini zilikuwa zimeshachomwa hali iliyopelekea kupoteza maisha kwa makosa yenu wenyewe" - Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida
Je, kuna zahanati au kituo chochote cha afya kilichomwa moto siku ya maandamano?
CCM ni kubwa na inao vijana wengi ndani yao ni vijana korofi katika jamii.
Lakini hadi sasa wameonesha kiwango kikubwa sana cha ustahimilivu pengine kuliko miaka yote iliyopita.wametulia na wamejikita kwenye hoja za siasa ...kamwe hawajajiingiza kwenye vurugu,kejeli au matusi.
It is a new era...
Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili.
Simu yake ilituma Masseji za maandamano kwa watu zaidi ya 2000 inasemekana alifanyiwa figisu kwenye ubunge sasa analipa...
Ningependa kuwa uliza Polisiccm na Waendesha mashtaka, kuna kauli ngapi za Wana CCM na uvccm ambazo zinaingelea uvunjifu wa Amani na Sheria lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi yao
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema...
Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye .
Amesema mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia huku akisema watu hawa wapo ikiwa ni siku chache zimepita wakati wakiendelea...
Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya...
Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo
Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao
Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
WATEUENI WAGOMBEA AMBAO CCM HAITAPATA SHIDA KUWANADI - KAWAIDA MWENYEKITI WA UVCCM (T)
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Ali Kawaida amewataka wajumbe wa kikao cha halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Kagera kutenda haki kwa kuwapitisha wagombea udiwani ambao...
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Ndg. Shabani Lugendo amewataka vijana wote wa UVCCM Wilaya ya Handeni kuhakikisha wana vunja makundi ya kiuchaguzi ndani ya Chama na kuwaomba wasubiri jina la mgombea atakaye pendekwzwa na Chama
Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha...
Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar watakaowakilisha Vijana kwenye Bunge la Tanzania, leo asubuhi ya August 2 2025, ametangaza matokeo ya kura zilizopigwa usiku wa kuamkia leo ambapo kwa Tanzania Bara wamepatikana Wagombea sita.
1. NG’WASI KAMANI - KURA...
Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara.
Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma
Wajumbe Mbalimbali wa Mkutano Mkuu Wa UVCCM hapa Mtumba Dodoma, Kwenye Mkutano Mkuu Maalumu , ambapo Leo Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wanapiga kura kuchagua Wabunge wa Viti Maalumu watakaowakilisha Vijana wa Chama Hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.