uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida: Viongozi bora hawawezi kutoka nje ya CCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida akizungumza na Wakazi wa Lugarawa - Ludewa Njombe. Sisi tumeshakaa mguu sawa kwenda uchaguzi wa mwaka 2025. Twendeni kwenye uchaguzi tukiwa katika hali ya amani, hali ya umoja kuchakua viongozi wetu watakao tuletea maendeleo na nyinyi mtakubalina na...
  2. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM GEITA: Kikao cha viongozi wa CHADEMA Bagamoyo lengo kuu lilikuwa kuvuruga uchaguzi na amani kwa sababu wao sio Watanzania

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa 2025 wa kuwachagua Rais wabunge na Madiwani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vijana CHADEMA wanataka kushiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha kugoma kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi. "Chama chochote cha siasa ambacho hakifanyi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA: UVCCM yasema CCM haijaruhusu fujo na harakati kwenye majimbo

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Akizungumza na wanachama wa CCM katika Kata ya Uyovu Wiaya ya Bukombe, Mwenyekiti...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Sina mpango wa kugombea Ubunge kwani nataka nikitumikie chama changu cha CCM

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohammed Kawaida amesema kwasasa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge kwani anataka akitumikie Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Walionyimwa Haki ya Kugombea Msiogope, Karibuni CCM

    Kutokana na uwepo wa taarifa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kulikosababishwa na kukataa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Ali Kawaida, amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa vijana juu ya kunyimwa haki yao...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: Vyama vya upinzani havina uchumi wa kuhudumia wananchi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kushika dola kutokana na kutokuwa na misingi imara ya kiuchumi ya kuwahudumia wananchi. Ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuiamini CCM kwa kuwa ndicho chama chenye dira ya kweli ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania UVCCM yakabidhiwa Ng'ombe ili waongeze vyanzo vya mapato

    Naona sasa wameamua kuwapa vijana ng'ombe wakatumie muda mwingi machungani === Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) chini ya Mwenyekiti wake, Ndg. Mohammed Ali Kawaida umekabidhiwa ng'ombe wa maziwa ambaye atakuwa anatumika ili kupata maziwa ambayo yatauzwa ili kuiingizia UVCCM fedha...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini: “No Reforms, No Election” ni dhana ya kufikirika tu isiyoweza kuzuia uchaguzi

    Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla, amesema kuwa kauli ya “No Reforms, No Election” ni dhana ya kufikirika tu isiyoweza kuzuia uchaguzi mkuu 2025 kufanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Siasa siyo mchezo wa jando na unyago

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhani amewaasa Viongozi wa Jumuiya ya Vijana ngazi zote ndani ya mkoa wa Kagera kufanya kazi kwa bidii ili kuzitendea haki nafasi walizonazo kwenye maeneo yao, huku akisisitiza kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda imani waliyopewa na vijana...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM

    Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa Jokate Mwegelo @jokatemwegelo : Emanuel Martine hivi huu ni mkutano mkuu wa tawi la chuo cha Kampala au ni mkutano mkuu wa kitaifa...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Tambiko la UVCCM Mtwara ni ibada

    Naam habari za wakati ! Tambiko ni ibada maalumu ya jadi inayofanyika ili kuomba jambo fulani toka kwa nguvu zisizoonekanika kwa macho ya kibinadamu, watu wengi hupendelea kuita nguvu hizi mizimu. Inasemwa kuwa, wakati mwingine matambiko hufanyika ili kuituliza mizimu hiyo inapokuwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Hamasa UVCCM: Vijana tangulizeni utu mbele, na kutodharauliana bali tulijenga Taifa bila kuogopa

    Katibu wa Hamasa na chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM, amewataka Vijana wa Kitanzania kutanguliza utu mbele, kutodharauliana na kuhakikisha kuwa wanapambana katika kulijenga Taifa bila kuogopa chochote wala kujionea huruma wanapotaka kufanya maamuzi katika jambo lolote. Mshama...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana UVCCM Bukoba Vijijini Walalamikia Kukwama kwa Kampeni ya SANEVO ya Rais Samia

    Vijana wa umoja wa UVCCM wilaya ya Bukoba Vijijini wamelalamikia kukwama kwa kampeini ya kutafuta kura mpya za Rais Samia inayoitwa Samia New Voters Campagn (SANEVO) iliyopangwa kufanyika wilayani humo mwishoni mwa mwezi machi, mwaka huu 2025. Wakiongea na Vyombo vya habari mara baada ya...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini awataka vijana bodaboda kuwatetea viongozi wa serikali wanaposemwa vibaya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini UVCCM wanatumia salamu za kijeshi

    Hawa jamaa kwenye mambo yao mengi naona wanatumia salamu za kijeshi. I am curious to understand, je hawa jamaa ni wanajeshi kamili na hayo mamlaka wameyatoa wapi?
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shamira akabidhi printa kwa UVCCM mkoa wa mjini Zanzibar

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira alitembelea ofisi ya UVCCM Mkoa wa Mjini Unguja kufanya kikao...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Kagera wachangisha Shilingi Millioni 12 kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa huo. Ikiwemo mradi wa fremu za biashara uliopo katika soko la CCM Zam Zam. Kupata...
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida azindua Hostel na fremu 73 ambazo ni vitega uchumi vya UVCCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM Mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo jana March 24, 2025 Mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo fremu 73 za...
Back
Top Bottom