Bila kuwa na maneno mengi naomba kuwauliza vijana wa ccm waliopo DODOMA kwenye matukio muhimu ya chama chao na hicho kinachoitwa Green Marathon maswali yafuatayo.
1. Leo UVCCM wanainjoi na kunufaika kwa CCM kuwa chama dola je wanawaza nini Juu ya vijana wenzao wa vyama vingine hasa chadema...
Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?
Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027
Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
GENTAMYCINE naweka hapa Nukuu ya Kauli ya Makamu Mwenyekiti CCM Bara Abdulrahman Kinana baada ya Kutangazwa Mshindi wa Cheo hicho Mkutanoni Dodoma mbele ya wana CCM wote akiwemo Mwenyekiti Taifa CCM na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.......
"Niwaombe wana CCM wote Kukubali...
UVCCM hebu niambieni GENTAMYCINE hivi kweli Dk. Bashiru Ali ni Adui yenu Kumzidi Adui Mkuu huyu wa Watanzania wote aliyeko CCM?
1. Fisadi na Mficha Hela za Misaada
2. Mlevi wa Wine na Muhuni
3. Mdini kupita Maelezo
4. Mbinafsi wa kupenda
5. Mlipiza Kisasi kwa Aliyemtangulia
6. Mpumbavu...
Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria.
Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko.
Kwa hili alilo...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Dkt. Bashiru aombe radhi kutokana na kauli yake aliyotoa wakati wa mkutano mkuu wa Mviwata, Kenani amekiomba chama kumchukulia hatua Dkt Bashiru kutokana na kauli zake za ukosoaji kwa viongozi, hawapaswi kupongezwa.
Global...
Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
Chama Cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa.
Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za...
Kenan KIHONGOSI ameshindwa kuwatetea vijana katika kipindi chake chote cha uongozi akiwa Katibu Mkuu wa Vijana, leo vijana na Tanzania wanahangaika kutafuta ajira na ajira zilizopo zinachukuliwa na wageni yeye hajawahi kuitisha Press kupinga dhuluma wanazofanyiwa vijana wa nchi hii.
Bunge...
Katiba ya CCM inatambua kuwa CCM ni chama cha Kijamaa (Wakulima na wafanyakazi) lakini miaka yote jambo hili limekuwa si kweli kwa 100%.
Ndani ya CCM kuna makundi 3 ya kiitikadi Bourgeoisies(Hili kundi lenye watu wenye ukwasi wa kifedha) hawa ni kundi la Kikwete, Lowassa na Hata sasa Samia hawa...
Binafsi mi naamini siasa za Africa ni udini Ukanda/ukabila, vitisho na rushwa.
Hakuna kingine, mnachokiona hapo ndo Hali halisi ya siasa zetu za TZ. Kwa akili hizi hatuwezi kupiga hatua.
Swali Hakuna wala nguruuwe
Wangefaa japo Hata nafasi tatú tu Hapo?.
Most of Tanzania politicians ni...
Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20.
Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi.
Huyo aonekanaye kwenye picha ana majina mawili tofauti na anamiliki vitambulisho viwili tofauti.
Jina...
Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.
Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe miradi ya kujiingizia kipato ili waache kulaumu watu wanaoshindwa kuwapa wanachohitaji.
Kunzenza...
KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula.
Kama habari...
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo.
'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.
Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.