uvamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga adai waliovamia mashamba ya Kenyatta walitumwa na Serikali

    Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Azimio la Umoja One amelaani uvamizi huo uliofanywa makundi ya Wahalifu walioiba na kuchinja baadhi ya mifugo ikiwemo Mbuzi na Kondoo waliokuwa ndani ya Shamba hilo. Akizungumza na BBC, Odinga amesema uvamizi huo uliofanywa Machi 27, 2023 ikiwa ni siku ya pili...
  2. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Uvamizi wa shamba la Kenyatta na shambulio la Lissu

    Jana Machi 27, shamba la familia ya Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta lilivamiwa na uharibifu pamoja na wizi kufanyika. Shambani humo moto mkubwa uliwashwa; miti ya mbao na nguzo ilikatwa na wizi wa mali mbalimbali wakiwemo mamia ya kondoo ulifanyika. Tundu Lissu, mnamo Septemba 7, 2017...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Tukisimamia haki na sheria, tutaondoa uvamizi

    TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata ya Lugoba ambapo migogoro ya Uvamizi wa Ardhi za Vijiji inaonekana kuanza kushamiri. Katika ziara...
  4. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Marekani uliopora uhuru na ardhi ya Hawaii

    Ungana nami mhabarishaji wako ASIWAJU katika makala hii fupi inayo elezea uvamizi wa marekani katika eneo la HAWAII ulivyo acha simanzi kubwa kwa wakazi wa eneo hilo. Makala hii imeandaliwa na kuhaririwa na BBC NEWS karibuni muungane nami mwanzo mpaka mwisho wa makala hii. ----- Mfalme...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mtu mwenye silaha avamia shule, aua watu 6 na kujeruhi 20

    Mtu mwenye silaha avamia shule na kuuwa Watu 6 na kujeruhi 20 ========= 6 dead, 20 wounded in school shooting in Russia MOSCOW (AP) — A gunman on Monday morning killed six people and wounded 20 others in a school in central Russia, local police said. Governor of the Udmurtia region, Alexander...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda imeanza kuilipa DRC fidia kutokana na uvamizi wa miaka 20 iliyopita

    Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemkorasia ya Kongo anasema Uganda imeanza kuilipa Kinshasa fidia ya dola milioni 65 kati ya 325 kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Sheria ya Kimataifa ICJ. Kulingana na maafisa wa serikali mjini Kinshasa waliozungumza Jumamosi, ni kwamba waziri wa sheria Rose...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Siku 182 za vita: Matukio yote ndani miezi 6 ya vita ya Ukraine na Urusi

    Mnamo Februari 24, Urusi ilizindua uvamizi kamili wa Ukraine kutoka Belarusi kuelekea kaskazini, Peninsula ya Crimea iliyoambatanishwa na Urusi kuelekea kusini, na eneo lake la mashariki. Vita hiyo imeua maelfu huku mamilioni ya watu wakiyahama makazi yao na kuharibu miji kadhaa. Haya ndiyo...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Trump aushutumu uvamizi wa FBI kuwa silaha ya mfumo wa Haki

    Rais wa zamani, Donald Trump amelaani uvamizi wa FBI katika nyumba yake ya mapumziko huko Florida, ikiwa ni Sehemu uchunguzi unaomkabili tangu kutoka madarakani 2020 na kukiri kuwa tukio la namna hiyo halijawahi kutokea kwa Rais yeyote yule wa Nchi hiyo Inaelezwa kuwa Uchunguzi huo...
  12. Gama

    JamiiForums Tanzania Urusi: Wasiopenda uvamizi wa Ukraine hawapendwi

    Tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukrain uanze kumekuwepo baadhi ya watu ambao wamekuwa wakionja madhira ya kujitanabaisha kutofurahishwa na uvamizi huo. Wale wanaodhibitika kufanya hivyo wamekuwa wakipata taaabu mbalimbali ikiwemo kuripotiwa kwa polisi na kisha kuhojiwa. Hakuna mtu aliyehukumiwa...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mazuri yanayoweza kuja kutokana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine

    Tukirejelea msemo wa "Hata katika hali mbaya kunaweza kupatikana mazuri ukitazama kwa bidii" haya yanaweza kuwa mazuri yatakayotokana na vita vya Russia nchi Ukraine. 1. Mapinduzi makubwa ya kilimo Afrika Vita hii imeonyesha jinsi gani sehemu kubwa ya dunia maskini hasa Afrika ni tegemezi kwa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makundi ya pro-Russia jukwaani na mitaani baada ya uvamizi huko Ukraine

    Tangu uvamizi wa Russia nchi Ukraine uanze Pro-Putin/Russia naweza kuwagawanya katika makundi matano 1. Wanaozungumzia huu uvamazi wa Urusi kwa upande wa Historia ila bahati mbaya historia imewapitia kushoto au ni ile historia waliyoisikia vijiweni tu kwa watu ambao hawajakanyaga hata darasa...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

    Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2. Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi. Rais Biden amesema kuwa lengo sio kuishambulia Urusi bali kuisaidia Ukraine, ambapo msaada huo unahusisha dola...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  18. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunashabikia Uvamizi wa Urusi, Ukraine. Tuendelee kuchochea Kuni? Yajayo yanasikitisha

    Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga. Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu...
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi

    Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi. Serikali ya Kenya inasema mwanafunzi mmoja tayari ameshawasili Kenya, wengine 74 wako Poland, wawili wako Romania na wawili wako Hungary. Mamlaka zinaendelea kuratibu uhamishaji wa wanafunzi wengine wengi kutoka...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kama ni uvamizi wa nchi nyingine, Urusi siyo wa kwanza

    Kama ni uvamizi wa nchi zingine nchi za kibeberu za Ulaya zinaongoza na Urusi sio ya kwanza. Ukianzia na kuzivamia nchi mbalimbali ikiwemo Afrika kuziweka kwenye ukoloni kuanzia karne ya 18 nchi za kibepari za Ulaya na Marekani ndio zinaongoza dunia kwa uvamizi wa nchi zingine.. Kuna Japan...
Back
Top Bottom