utunzaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze: VICOBA na changamoto ya utunzaji wa Kumbukumbu

    Wana Jukwaa Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuanzisha na wengine kujiunga kwenye VICOBA. Na ki-uhalisia imekuwa msaada mkubwa sana kwa watu ambao wamekosa sifa za kukopesheka kutoka kwenye mifumo rasmi ya kukopa, mfano bank. Nakumbuka miaka mitatu (3)...
  2. JamiiForums Tanzania Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  3. JamiiForums Tanzania NEMC yasisitiza utunzaji wa mazingira katika Soko Kuu la Kariakoo

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu na kusisitiza suala zima la utunzaji na usimamizi wa Mazingira katika soko kuu la Kariakoo litakalokuwa linafanya kazi kwa masaa 24. Akizungumza katika Maonesho ya uzinduzi wa biashara ya saa 24 katika Soko kuu la...
  4. JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  5. JamiiForums Tanzania Dondoo 11 za Utunzaji wa Ngozi za Watoto na Umuhimu wa Mafuta ya Watoto ya Grace My Baby Gardener

    Kama mzazi, moja ya wajibu wako mkubwa ni kuhakikisha afya na ustawi wa mtoto wako. Ngozi ya watoto ni nyororo na nyeti, ikihitaji utunzaji wa kipekee ili kuepusha matatizo ya ngozi kama vile muwasho, ukavu, na mapele. Kupitia makala hii, tunawaletea dondoo 11 muhimu za utunzaji wa ngozi za...
  6. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Vituo vya Mizani wametakiwa kusimamia Sheria za utunzaji wa barabara

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara wa Mtwara-Mikindani, wapewa mafunzo ya utunzaji fedha

    Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI...
  9. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya utunzaji wa kumbukumbu

    Utunzaji wa kumbukumbu ni msingi mkuu wa taasisi yoyote duniani bila ya kumbukumbu taasisi haiwezi kufanya kazi zake kwa ufasaha na inaweza kupelekea kuvuja kwa taarifa za siri za taasisi, kupoteza nyaraka muhimu za taasisi ambazo zinakuwa zimebeba taswira ya taasisi. Utunzaji mzuri wa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya nishati safi kwa matumizi ya kupikia na viwandani kwa maendeleo ya Tanzania

    Nishati ni ule uwezo au nguvu ya kufanya kazi inayoleta matokeo Fulani ambayo yanaweza kuwa chanya au hasi, nishati imegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni nishati safi na nishati chafu. Nishati isiyo safi ni aina ya nishati ambayo husababisha madhara ya kimazingira mara baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye mandhari nzuri, muonekano safi na utunzaji wa mazingira

    Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi hizo. Kwa ushirikiano wa serikali, wawekezaji na jamii nzima kupitia sera zenye maono na...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Responded Utunzaji wa taka ni mbovu sana Kawe - Mzimuni, zinazagaa ovyo Mitaani, hii ni hatari kwa afya

    Mimi ni mkazi wa Kawe - Mzimuni karibu na Shule ya Ali Hassan Mwinyi, kwa muda wa wiki yote hii kama sijakosea ni kuanzia Jumapili (Machi 17, 2024) nimeshuhudia taka zikizagaa mitaani tena nyingine zikiwa katikati ya Barabara. Mazingira ya utunzani taka mtaani kwetu ni ya ovyo sana, hili...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti JET: Elimu ya utunzaji mazingira iingizwe kwenye Mitaala ya Elimu kuanzia ngazi ya chini

    Umoja wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania wakiwemo wa Mashirika Binafsi na Serikali (CEOrt) wakishirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira (Journalists' Environmental Association of Tanzania – JET) wamekutana na Wadau mbalimbali katika warsha ya kujadili mambo mbalimbali kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania SOFTWARE DukaPoint: Imerahisisha utunzaji na upatikanaji wa kumbukumbu za biashara yako(mauzo, manunuzi, matumizi, stock n.k)

    Kuna msemo wa Kiswahili usemao: "mali bila daftari, hupotea bila habari." Mfanyabiashara makini hufahamu hili na ndio maana haachi kutunza kumbukumbu za biashara yake. Utunzaji wa taarifa za mauzo, manunuzi, matumizi, na stoku ni muhimu kwa ukuaji wa biashara, kwani itakusaidia kufahamu...
  15. JamiiForums Tanzania Kardinali Protase Rugambwa, hadithi ya wanawali kumi, na teolojia ya utunzaji wa rasilimali

    https://youtu.be/ZjF8cpKA9kA Katika homilia yake ya kwanza kama Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Tabora, Kardinali Rugambwa, amehusianisha hadithi ya wanawali kumi na utunzaji wa rasilimali za nchi katika namba yenye kufikirisha sana. Nitajaribu kueleza nilichoelewa kutokana na homilia yake...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia bora ya kurudisha weusi kwenye nywele zilizobadilika rangi

    Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku. Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau. Nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Mazava Morogoro Chasisitizwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira na Usalama wa Mahali pa Kazi

    MBUNGE NORAH MZERU ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA USALAMA MAHALI PA KAZI KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru mnamo tarehe 05 Machi, 2023 amefanya ziara na kutembelea Kiwanda cha Uzalishaji Nguo cha Mazava kilichopo katika...
  18. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la utunzaji wa mazingira

    Mazingira ni muhimu sana katika maendeleo ya binadamu. Tunategemea mazingira kwa ajili ya chakula, maji, hewa safi na rasilimali nyinginezo. Hata hivyo, mazingira yanazidi kuharibika kutokana na shughuli za kibinadamu kama vile uchimbaji wa madini, kilimo cha kibinafsi, uvuvi haramu na uchafuzi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  20. JamiiForums Tanzania Kampeni nyingi za utunzaji mazingira zimekosa uhalisia

    Kabla hujaenda mbali kusoma huu uzi tazama hiyo picha kisha utuambie kama kinachofanyika hapo kinahamasisha chochote. Ndugu zangu katika mambo ambayo nimeshindwa kabisa kuyaelewa ni hizi kanpeni za kuhusu mazingira ninazoziona kwenye vyombo vya habari. Kwa upande wangu naona nyingi zinafanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…