utumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Hadi leo mtu mweusi bado anakamatwa na kuuzwa, utumwa dhidi ya mtu mweusi ni kama jadi kwa baadhi ya waarabu, miaka 1400 ya kutuuza haikutosha.

    Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa. Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
  2. Genius Man

    Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote ni utumwa tofauti alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru

    Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote zaidi ya utumwa tofauti na alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru. Asione haibu kusema nimechoka watanzania walinikataa nimelazimisha lakini nimechoka hata miezi minne haijaisha lazima aseme nimeacha mauwaji na...
  3. ELI COHEN

    Leo ndio wabongo wanashtuka eti babu zetu waliopelekwa utumwani uarabun waliishia wapi. Historia ilifocus zaidi katika ku-vilify wazungu, inasikitisha

    Kipindi tunafundishwa kuwachukia wazungu, unyama wa uarabu ulikuwa unafukiwa, hadi hapo watu walipoanza kwenda outside of the box na kugundua zaidi y I abu shiri, kugundua kuwa babu zao walihanisiwa na kufanyika mashine za kazi hadi kufa kwao huko uarabuni, waliobakia nachoamini ni less than 1%...
  4. ELI COHEN

    Ila hii bongo🤔, kila uchao unakutana na influencer anasema watu hawajui kuajiriwa ni utumwa, sasa unajiuliza kuna mahala pa kuokota pesa ukawekeze?

    Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka. Tusipende kuona kwamba kujiajiri ni kitu ambacho sio process, sio gharama na sio kigumu.
  5. Zawadini

    Kweli ilikidhihiri uongo hujitenga. Ya utumwa yawekwa wazi

    Waswahili wana msemao wao husema "kweli ikidhihiri uongo hujitenga". Hii inamaanisha kwamba ikiwa kuna uongo unasemwa/unasambazwa, ikitokea siku ukaelezwa ukweli basi hule uongo moja kwa moja utaondoka kwani watu watakuwa wameujua ukweli. Kumekuwa na simulizi nyingi kuhusu biashara ya utumwa...
  6. ELI COHEN

    Nina uhakika 90% ya wanaJF humu hawajui kuwa 90% ya utumwa duniani ulifanywa na waarabu lakini 80% hawajui kuwa 80%+ ya utumwa uliwezeshwa na machifu

    Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu. Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi. Biashara hii, ambayo ilidumu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Sio Lazima ufunge ndoa Kanisani au Msikitini. Kwanza huo ni Utumwa

    SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi. 2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
  8. Pakome

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  9. CHAGOSI GERALD

    Uhuru wa Bendera, utumwa wa mfumo

    Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba mabadiliko yatatoka kwenye sanduku la kura, kana kwamba sanduku limebeba miujiza, sio majina ya watu...
  10. The Father of All

    Kwanini miungu ya kigeni allah na yehova inapenda kuabudiwa hata isipofanya lolote au kutatua tatizo au ni utumwa wale waliozileta kutunyonya?

    Wangapi wameomba Mungu wasipate kitu? Wangapi hupatwa na woga wanapoambiwa hasira na visasi vya Mungu/ Wangapi wameibiwa hata kuharibiwa maisha kwa jina la Mungu?> Wangapi wana wasi wasi hadi kuhoji kama mimi? Wangapi wanaogopa kuhoji? Maswali ni mengi kuliko majibu. Kichwa cha habari...
  11. ELI COHEN

    Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

    Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
  12. K

    Utumwa unavyoendelea kutuumiza waafrika

    WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa kifikra dhidi ya nini mahitaji yetu ya msingi, malengo yetu, na miongozo yetu kuyafikia hayo mahitaji...
  13. jamaikatz

    Maisha yote ni utumwa, tangu unazaliwa

    Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi Kazini una amka saa 1 asubuhi Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni. Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
  14. Ibn Unuq

    Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

    Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki washamba ndiyo kivutio cha dunia. Mungu mmoja alitoka Asia, akapita Ulaya, akaruka Mediteranea, akaruka...
  15. cairnegie

    Huu ni utumwa wa kifikra .

    Huenda hawa walionzisha hizi siku za amani , sheria , familia , baba ,mama , mwanamke ,mtoto , wapendanao ... wanatuona mafala kwa vile tunavozishobokea hizo sikukuu . Sababu kuu ni kua maisha yao yako kinyume kabisa na hizo fikra , HUU NDIO NI UTUMWA WA KIFIKRA 😡 ! Hata ikianzishwa siku kuu ya...
  16. Samia atosha tukutane2030

    Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa . Dalili za mtu aliyefungwa kiroho; 1. Kufanya kazi...
  17. Uwesutanzania

    Ukiishi kama mfalme ujanani tegemea utumwa uzeeni

    Mambo ni mawili tu, Uishi kama mfalme ujanani uje kuishi kama mtumwa uzeeni Au Uishi kama mtumwa ujanani uje kuishi kama mfalme uzeeni. Pia kumbuka maisha ni kama GAME LA AVIATOR Ishi kwa kuyavizia ukijisahu kifo kinakupitia bila kula pesa yako iliyo BANK. Pia unaeza...
  18. SankaraBoukaka

    Umefika Wakati SHIKAMOO na MARAHABA Ziondolewe Kwenye Matumizi Yetu ya Kiswahili Maana Zinadumisha UTUMWA...

    Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
  19. Elly official

    Mateso ya mwafrika chini ya dunia: Uongo, utumwa mpya, na upotevu wa utambulisho

    Utangulizi Kuletwa kwa dini barani Afrika haukuwa tukio la kiroho, bali ni sehemu ya mpango mpana wa utawala wa kikoloni na kiakili. Wamisionari walikuja sambamba na wakoloni – wakitumia Biblia mkononi wa kushoto na bunduki mkononi wa kulia. Wakaua utamaduni wa Mwafrika, wakaweka hofu...
  20. Elly official

    Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika

    Makala: Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya Utangulizi Historia ya Afrika haiwezi kueleweka kwa undani bila kutazama nafasi ya dini katika harakati za ukoloni, biashara ya utumwa, na mabadiliko ya kijamii. Katika karne ya 15...
Back
Top Bottom