Habari wadau,
samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
Kulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….!
Pitia Screenshot ya Taarifa yao..
Habarini Wakuu,
Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi.
Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini kinaendelea.
Tutumie nafasi hii ku-share screen shot za maombi tuliotuma na bado hayajafanyiwa kazi.
Habari zenu wakuu,
Kwa wale wenye experience na practical interview za utumishi especially kwenye kada ya engineer -II naomba m-share tafadhari.
Sharing is caring🙏
Habari wakuu, mimi ni mtanzania mwenye miaka 29. Leo nimeenda kufanya interview ya forest officer II chini ya TFS kituo kikiwa chuo cha TIA.
Jambo la kushangaza watu wa utumishi wamenizuia kufanya kwa sababu wanasema mpaka mda ambao nitaitwa kazini (Ikitokea nimepata) nitakuwa na miaka 30...
Habari za siku wakuu,
Naomba aliewahi kufanya online interview za utumishi anipe mwongozo namna ambavyo inakuwa kwenye upande wa format, je maswali ni ya kuchagua? Na yanakuwa mangapi?
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
Talent sourcing solutions
UTUMISHI is a government organization...
Habari Wana JF naomba kuuliza .
Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu nikachukua fani nyingine ya electronics and telecommunications inauwezekano wakanibadilishia fani...
habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo yanakwendaje kwa interview za namna hiyo
Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
Anonymous
Thread
ess
haki
lengo
mfumo
mfumo ess
mfumo wa ess
uhamisho utumishiutumishi
watumishi
Leo nimekusikiliza ukiongea kwenye kikao kazi cha wakuu wa taasisi za umma Dodoma. Umeongea mambo mengi mazuri, makubwa na ya msingi kwenye hotuba yako ya ufunguzi. Umezungumzia changamoto mbalimbali za kiutumishi, uwajibikaji, maadili nk. Umetoa mifano hai na ufafanuzi wa kueleweka. Nakupa...
OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma.
Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA.
Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao
Wasio na connection wanatoboa hapa ?
Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
WanaJF salam!
Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa na kupitisha makato kwa maHRO.
Sasa katazo hili ndo linasababisha watumishi kushindwa kuuza madeni...
Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
ccm
katika
kugombea
kugombea urais
kugombea urais 2025
kumteua
meneja
rais
rais samia
samia
samia kugombea urais 2025
sheria
tanga
tra
umma
urais
urais 2025
utumishiutumishi wa umma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.