Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 714
- 1,655
Kupeleka ajira za ualimu ni moja ya maamuzi ya ovyo ambayo serikali imewahi kuyafanya.
Sitoshaangaa hapo baadae mwanasiasa mwingine atakapokuja na kuamua kuzirudisha tena Tamisemi au akatumia udhaifu ulioneshwa na utumishi kuombea kura kwa wasaka ajira za ualimu.
Wakati ajira hizi zipo Tamisemi (kipindi cha magu japo yeye ndiyo aliyesababisha yote haya) kibali kilikuwa kikitoka mwezi wa nne watano mchakato wa uombaji unaanza wasaba watu wapo kazini.
Zilivyoenda utumishi, mwezi wa 4 kibali kilitoka cha kuajili walimu, lakini tangazo sasa la ajira likatoka wasita ,, kuomba watisa au wakumi, kuita watu kwenye interview hadi leo bado, je kwa halii bado kuna watu wanatamani ajira hizi zipitie utumishi?
Ushauri: Ajira zirudi tamisemi bila kupitia utumishi, Tamisemi waandae interview zao wenyeww kama zilivyofanyika ajira za bunge, huenda hili likasaidia.