utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nyeupe7

    JamiiForums Tanzania Maswali yaliyonitesa kichwa kwenye 'written interview' Utumishi

    wale wajuzi wa resarch naombeni majibu kwa haya maswali 1. Mention components of research design 2. Analysis of data in research is done in stages. Explain
  2. Midimay

    JamiiForums Tanzania Kwanini UTUMISHI inaendelea kuwapa mikataba Watumishi wanaostaafu?

    Habari za mchana wakuu. Kama swali lilivyouliza; Tetesi na pengine uhakika ni kwamba UTUMISHI wameendelea kuwa na tabia ya kukubali lobying kwa watumishi wanaogopa kustaafu, kuwaongezea mikataba baada kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima(kwa mujibu wa sheria na kanuni mbali mbali) yaani miaka...
  3. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa usaili Utumishi kwa kada ya kilimo

    Wakuu habari zenu. Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Oral Interview za UTUMISHI (PSRS)

    Habari za humu wa forum? Nilikuwa naomba kujua maswali common ya ORAL INTERVIEW za UTUMISHI Asante.
  5. Jiggy El Jefe

    JamiiForums Tanzania Written Interview Utumishi

    Habari za Muda wakuu, Naomba Ushauri na kwa yeyote ambae ana uzoefu na inteview za utumishi kwani ndio mara ya kwanza na attend, kada ya commercial officer II (TRC). Walau nipate mwangaza wa interview zinavyokua. AHSANTE
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ili kupambana na Rushwa weka misingi ya Taifa anayethibitika kupokea rushwa anafukuzwa urgently

    Lipo tatizo kubwa la rushwa Kila sekta. Kisingizio kikubwa Watumishi wa umma ni mishahara midogo. Nakishauri Mhe. Rais weka kifungu cha sheria kinachomwajibisha mpokea Rushwa akiwa mtumishi wa Umma na pale anapofukizwa kazi pengo lake lizibweKwkwa haraka arudi uraiani akaishi bila mshahara...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama ataweka siasa pembeni Wizara ya Utumishi kweli?

    Huyu mama nilivyokuwa ninamwona ni kama Mwanasiasa sana sana. Ukiangalia level ya elimu yake kwenye web ya Bunge unaelewa kuwa huyu ni Mwanasiasa na ndiyo maana aliwekwa kuongoza Ofisi ambayo ina potifolio nyingi za kisiasa. Mfano alipokuwa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Uratibu, Kazi...
  8. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja. Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

    Wakuu vipi hali? Nikiwa siti ya pili toka nyuma kwenye basi nikitafakari na kupitiwa na usingizi namna nilivyokosa maksi 3 niingie oral kwenye written ya utumishi pale CIVE(AUDITORIUM). Mara siti ya nyuma huko nasikiaa mwanamama akiwasiliana na simu, ‘tumepata ajali wafanyakazi wetu watano...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Jenister Mhagama, Waziri wa Utumishi wa umma na Utawala Bora

    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
  11. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama pambana na malimbikizo na haki za wastaafu usije kosa baraka hapo Utumishi

    Katika vitu vinaumiza ni mtu kudai malimbikizo yake ya kazi aliyoitolea jasho halafu Fomu zinajazwa hapo wizarani unazikuta zinazagaa mpaka zinapigwa mateke kwa kukosa utaratibu mzuri Ukiingia chumba cha Approvers ni aibu mafomu yametupwa kila mahali na kupelekea kupoteza haki za watu Kuna...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

    Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali . Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo. Niwatakie Xmas Njema
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi na Katibu Mkuu Kiongozi, niwaombe mwarejeshe kazini waliofukuzwa kimakosa Kwa maamuzi ya kesi za prebagaining

    Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa na wengine kupoteza kazi kwa utashi wa WATU wachache walioelekezwa kufanya walivyofanya. 1. Wapo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Gerson Msigwa, iheshimishe ofisi uliyopewa...tumia mitandao Kwa maslahi mapana ya utumishi

    Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia. Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
  16. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Ndugu Mchengerwa (Mbunge)waziri wa Utumishi

    Habari Mhe Waziri , Mohammed Mchengerwa ,Kwanza ni kupongeze Kwa uteuzi wako ,kazi unaenda nayo vizuri ,kuna maeneo kidogo ningependa kushauri ,JF ni kioo cha jamii kitumie katika kujirekebisha. Ni ukweli usiopingika umekua mtetezi wa Watumishi wa UMMA ukitamani kila mtumishi apate haki yake...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya kikabaila na kibwenyenye katika utumishi wa umma ndio chanzo kikuu cha Rushwa na ufisadi

    Habari! Rushwa si tabia ya mtu ya kuzaliwa nayo, Rushwa inatengenezwa na mazingira. Hapa nazungumzia rushwa katika level ya utumishi wa umma. Kijana anaanza kazi ofisi ya umma analipwa laki 5 huku akibahatika kuona salary slip ya bosi wake anakuta imeandikwa 7 million. Na marupurupu juu. Hata...
  18. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Nalia na Utumishi

    Habari zenu wadau, Jamani nimeandika huu ujumbe maana sasa imekuwa kisanga kwanza ni mwaka sasa nahangaika na mfumo wa ajira portal bila mafaniko na kila nikiwapigia siimu hawapokei, nourishing kipipigwa block tu. Nimejaribu kwenda pale DSM, posta kwenye ofisi za utumishi nikaambiwa niende...
  19. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Majina ya Interview Kwenye Web ya Utumishi Yanakaa Sehemu Gani Wakuu...?

    Salaam kwenu wadau. Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...? NAWASILISHA.
  20. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Utumishi siwaelewi kabisa

    Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wa
Back
Top Bottom