utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kuhusu utekaji nchini, Viongozi wa dini ya Kiislam mnaogopa nini kukemea utekaji ?

    Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa mtawala ni miongoni mwa waislamu? Mnahisi mko salama? Mnahisi msipoyakemea na kuyafumbia macho...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama haupingi utekaji tupe sababu!

    Tunazungushana na drama ambazo hazina maana. Kama kuna watu hawapingi utekaji tumaomba mtupe sababu zenu tuzijadili bila hivyo tufunge mjadala kama wote tutakubaliana kwamba hakuna sababu yeyote ya msingi ya kumteka mtu
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

    Tupo tunatazama! Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa. Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu. Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina...
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Agenda ya utekaji yawa vita ya Kenge na Ponjoro!

    Mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zimbombo haziko mbali. Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya wahenga wa waswahili. Tangu mjadala ya utekaji ushike kasi, ni wazi kumeibuka makundi mawili; Moja likiwa ni 'kundi linaloshutumu utekaji' lingine likiwa ni 'kundi linalowashutumu...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bishop Gwajima atangaza Maombi ya siku 7 kuwaombea Lissu, Kitima, Mdude, Soka , kuomba Mungu ashughulike na Watekaji ili utekaji Ukome

    Wakuu ni Kila siku kuanzia saa 10, Maombi hayo atayaongoza yeye Mwenyewe. Aseme HATAKI KUONA UTEKAJI unaendelea nchini.
  6. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Semi Final | PONJORO VS KENGE June 1, 2025.

    Ni wakati mwingine tena tunakukaribisha katika mtanange wa mkubwa hatua ya Nusu final katika Kombe la wimbi la UTEKAJI TANZANIA. Timu zilizoko uwanjani leo ni kati ya KENGE FC vs PONJORO FC, huku Kocha mkuu wa Ponjoro Fc kutoka Kinondoni akiwahakikikishia ushindi na kutinga final wale mbonga...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Abihudi Misholi alishayatabiri haya yanayotokea leo ya utekaji na mauwaji ya kisiasa wakati wa uchaguzi

    Mchungaji Abihudi Misholi kwenye wimbo wake unaoitwa ombea amani Tanzania ambao aliuimba kipindi cha Mkapa kuelekea Kikwete umetabiri kwa usahihi kabisa haya yanayotokea leo. Ni bahati mbaya sana unabii huu umetimizwa na mwanamke. Mwenye wimbo huo atuwekee hapa.
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima D unazungumziaje suala la Utekaji?

    Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag. Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, Ukimya wa Rais Samia juu ya utekaji na kuwakemea/kuwatenga wanaokemea utekaji katika chama chake unaleta jibu kuwa anawajua watekaji?

    Wadau kuhusu utekaji na watekaji, kuna mambo yanafikirisha sana kuhusu Rais Samia ukiyatafakari , Mosi, Sijawahi kumsikia Rais wetu , mahala popote akikemea masuala ya utekaji na watekaji Pili, ni wazi kwamba Rais anachukizwa na wanaCCM ambao wanatoka msitari wa mbele kuhoji sakata la utekaji...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivyo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge

    Mh Luaga Mpina , Tangu Enzi na Enzi wewe ni MTU Haki, unaijua Haki na Kusimamia Haki. Haijawahi kutokea ulimi wako ukafurahia Maovu !!. Kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge.!!. Sasa Uchaguzi ni Mmoja tu, Ukawa Kimya bado...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Mstaafu Kikwete anaridhika kabisa na unyama, ushenzi na udhalimu wa utekaji watu unaoendelea nchini?

    Kuwa rais mstaafu kuna dhima kubwa. Haitoshi tu kuwa mualikwa kwenye shughuli na kukaa high tables za mialiko mbalimbali basi hiyo ikawa sababu ya roho yako kuwa kwatu. La hasha kuna dhima ya kuhakikisha nchi hii inakuwa ya haki zaidi kila siku, inayostawi zaidi kila siku. Kwa kweli mimi kila...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye ni kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri.

    Nimemfuatilia hotuba zake sioni hoja za msingi wala sera zenye tija kwenye nchi yetu. Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye anaonekana kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri na kukemea mambo hayo. Nashauri raisi samia asigombee miaka mingine...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Masuala ya Mambo ya Nje Bunge la Senate Marekani yatoa tamko kuhusu Masuala ya Utekaji na Utesaji wa Watu nchini Tanzania

    Kumekucha! Muda mchache uliopita Kamati ya Bunge la Senate la Marekani limetoa tamko zito la kushtushwa na hali ya kuongezeka vitendo vya utekaji na uteswaji wa watu vinayotokea Afrika Mashariki hasa nchini Tanzania. Mungu wabariki Wazungu. Waje kutusaidia kuwaondoa hawa wakoloni weusi. God...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Yoyote yule, awe Kiongozi wa Serikali, au Dini, Wanasiasa , Wanaharakati anayeshindwa Kuukemea Utekaji, na Mauaji huyo Apigwe vita

    Hata itokee anahubiri vipi Amani, hata itokee anajua Kuongea na kuvutia, Hata itokee anatoa Misaada katika Jamii, IKIWA kinywa chake ni kizito kukemea UTEKAJI NA MAUJI. Huyo ahesabiwe kama Adui wa TAIFA hili.
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana. Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji ni biashara tusishangae IGP kuwa Billionea kwa muda mfupi

    Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Aliyeomba yohana mbatizaji akatwe kichwa ni mwanamke: Wanaoshangilia utekaji wengi wao viongozi wa kike, Aliyemuuza adam ni mwanamke

    Linapokuja suala la ukatili, viongozi wa kike wameonesha roho mbaya za waziwazi kabisa! Michango ya wabunge inatia simanzi! Kushangilia utekaji na mauaji ni ishara ya juu kabisa ya uchawi! Kama kuteka ni suruhisho hatuna budi kuwa na mahakama na magereza. Viti maalum vimeonesha waziwazi siyo...
  18. Bila bila

    JamiiForums Tanzania CCM tuambieni kwanini watu wakiongelea utekaji mnachachamaa?

    Imekuwa kawaida Sasa. Mtu akitoka akasema Polisi inateka au inanyamazia utekaji badala ya Polisi kujibu CCM ndo wanaibuka kujibu. Mtu akisema vyombo vya Dola cinanyamazia utekaji CCM wanaibuka kupinga na kuleta mifano ya 1983. Sasa tokeni hadharani atuambie tuache kuvisema vyombo vya Dola...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa sisi Watibeli kwenye Siasa za nchi yetu

    MSIMAMO WA SISI WATIBELI KWENYE SIASA ZA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinipigia Simu, kunitumia jumbe kwa njia za meseji ya kawaida au kupitia pm za mitandao ya kijamii, wakihitaji kujua msimamo wangu na msimamo wa Watibeli kwenye siasa za nchi...
  20. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

    Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi. Wenzangu mnasemaje? Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
Back
Top Bottom