Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi.
Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...