utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wanafanya Utekaji, na Majaribio ya kuua, Kuhakikisha Dola inaendelea kusalia Madarakan kupitia CCM, Watanzania Mwaka huu tulazimishe Mabadiliko

    Embu Watanzania tafakarin Hawa watu wanafanya Utekaji, wanaua, wanawapa watu ulemavu na kuwapoteza watu hata wasionekane. Kwann? Kwa sababú wanajua endapo wataruhusu Mabadiliko Kwa njia za Kidiplomasia, mbeleni watafikishwa kwenye Sheria, wapo watakaofungwa, Maisha, wapo watakaohukumiwa Kifo...
  2. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibari hakuna utekaji kama Bara ?

    Tupate maoni kidogo , kupitia miaka mitano nyuma umewahi kusikia utekaji wowote zanzibari kama ilivyo Tanzania Bara? Na log out
  3. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuna wimbi kubwa la utekaji watoto...

    kuna kipindi nafatalia youtube kupitia Easterntv na bado kinaendelea nimeogopa sana tena swala la watoto. Najua wengi wa watanzania mtoto akijua kutembea unamuacha kama kuku ili mradi tu jioni umuone yupo nyumbani. Huku kenya sivyo ndivyo yani utekaji ni mkubwa na biashara hii kama itaingia...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali kukanusha mauwaji na utekaji na ukandamizaji ni kujaribu kudanganya dunia dhidi ya ukweli

    Serikali kukanusha ukiukwaji mkubwa wa haki nchini na uwepo wa mauwaji yasisi kwa sisi ya kiholela holela hasa kwa wakosoaji wa serikali kwa wapinzani na viongozi wa kidini ni kujaribu kutaka kudanganya dunia dhidi ya ukweli. Serikali imekanusha azimio la ulaya ikidai kuwa haiajapata taarifa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Wekeni rekodi vizuri ya Matukio yote ya Utekaji, Kuuwawa, kulawitia na Kupotezwa kwa Watu wenu na Watanzania. Mtanishukuru baadae

    Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu. Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa. Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kifaa Cha kuzuia Utekaji

  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA (Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar) ACT-Wazalendo, tumepokea kwa mshituko taarifa ya kutekwa, ndugu Fakih Ali Salim, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Kijiji cha Chozi, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  9. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Ruto avunja kamati ya Utekaji

    Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Familia ya kada CCM aliyetekwa yamuangukia Rais Samia

    Familia ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Chonchorio maarufu kama ‘Chox’, imemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la kutoweka kwa mpendwa wao. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Machi, Msemaji wa Familia ya Chonchorio, Lucy Mdimi amesema...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Za utekaji Nchini Tanzania

    TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo: Tarimo alitoa ushahidi, kesi kuendelea Machi 17

    Wakuu, Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo! ==== Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake jinsi hali ilivyokuwa. Kesi hiyo iliahirishwa mpaka Machi 17. Pia soma: Waliojaribu kumteka...
  13. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Kwaresma Njema na Ramadhan Kareem: Tutumie funga zetu kuliombea taifa dhidi ya janga la utekaji na maovu Mengine

    Katika kipindi hiki muhimu cha Kwaresma kwa Wakristo na Ramadhan kwa Waislam, tunapoadhimisha nyakati hizi takatifu za toba, tafakuri, na kujitakasa, ni vema tukatafakari nafasi yetu kama jamii inayotafuta haki, amani, na utu. Wakati mamilioni ya waumini wakijinyima na kujitenga na starehe za...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu KKKT, Isaac Laizer: Tunatakiwa kuombea roho za wizi wa kura na utekaji nchini

    "Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtanda azungumzia suala la Katibu wa BAVICHA- Mwanza kupotea, asema serikali haina lengo la kumteka yeyote yule

    Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo, Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi "Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

    Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

  18. kagoshima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya bado imemkalia kooni IGP afike mahakamani ahojiwe Kuhusu utekaji ama ahukimiwe

    Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania IGP anapaswa kujitathmini. Utekaji wa raia umezidi.

    Watu wanapotea bila maelezo. Mpaka leo Deusdedit Soka hajulikani yuko wapi. Abdul Nondo ametekwa juzi. Watu wanauliza maswali hawapati majibu. Juzi ametekwa mtu Mbezi,mfanyabiashara,muuza Bucha,Daudi,I forget his name,ameuawa, mwili wake umetupwa Bagamoyo. Familia yake ikasema Polisi imewazuia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul Nondo: Kama matukio ya utekaji ni ya kutengenezwa, tuambiwe aliyemteka Soka

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo akizungumza na wanahabari leo januari 9, 2024 amesema kuwa “kumekuwa na mwanya wa dhihaka na propaganda kwamba matukio haya ya utekaji sio ya ukweli ni ya kutengeneza ntu anawezaje kutengeneza kujiumiza, mtu anawezaje kutengeneza kujiumiza mguu...
Back
Top Bottom