Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,911
- 6,500
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata
Serikali haiteki" bali "serikali inakamata mhalifu. Ikiwa mtu amekamatwa na vyombo vya dola, huo unaitwa ukamatwaji na si utekwaji.
Soma Pia: Katambi: Tuwatie moyo askari, tusiwatweze na kuwaumiza wamejitoa maisha yao
Upelelezi unapaswa kuwa umefanyika, na askari wanatakiwa kujitambulisha wanapomweka mtu chini ya ulinzi