utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  2. JamiiForums Tanzania Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

    Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ? Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ? Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lini Watanzania watajijengea utaratibu wakujiuzulu?

    Unaongoza watu, unaowaongoza wanakukataa adharani. Unaendelea kubaki ofisini ukisubiri hadi utumbuliwe kwa faida ya nani? Nchi zilizo serious ukilalamikiwa tu unakaa pembeni kwetu unang'ang'ana na ofisi for what....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza utaratibu wa kubadili jina

    Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu, Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
  5. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuzuia magari kwenye misafara ya viongozi ubadilike

    Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana. VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Chuo cha LITI Morogoro sio sawa kwa watoto maskini

    Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki walifanikiwaje kuweka utaratibu wa kiibada unaofatwa karibu ilimwenguni kote?

    Utashangaa ukihudhuria ibada ya kikatoliki labda mwanza masomo yatakayosomwa hapo Mwanza ni sawa na somo litakalosomwa Bukoba, Mbeya, Shinyanga, Lindi, Mtwara, Tanga nk yaani nchi nzima ujumbe utakaotolewa ni uleule bila kupungua au kuongezeka. Hiki kitu sijakishuhudia katika makanisa mengine...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuandaa mitihani ya taifa upoje?

    Wakuu habari zenu . Ivi utaratibu wa kuandaa mitihani ya necta upoje kuanzia utungaji wa maswali, uchapaji wa mitihani, kuhifadhi mitihani mpaka kufikia kuisambaza katika vituo vya mitihani.mchakato huwa unakuaje wadau, nna hamu sana ya kujua na inshaallah mungu akijalia nije nifanye kazi huko...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu unaopigiwa debe wa kujitolea kwanza ili upewe kipaumbele kwenye kuajiriwa ni unyanyasaji

    Ukiweka sharti la kujitolea ili mtu apewe ajira maana yake ni kwamba kila mwajiriwa mtarajiwa atataka kujitolea! SWALI: Je waajiriwa wote wanaweza kupata fursa ya kujitolea? Jibu la dhati ni HAPANA. Sasa hivi kuna vijana takriban 600,000 wanasaka ajira. Je tuna uwezo wa kuwapa wote hawa fursa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Utaratibu Ufuatwe Baina ya Twiga Cement na Tanga Cement

    MBUNGE JUDITH KAPINGA ASISITIZA UTARATIBU UFUATWE BAINA YA TWIGA CEMENT NA TANGA CEMENT Mbunge wa Viti Maalmu Vijana Kupitia Kundi la Vijna, Mhe. Judith Kapinga jana tarehe 04 Mei, 2023 amechangia Bungeni suala la Twiga Cement kuinunua Tanga Cement katika hoja ya bajeti ya Wizara ya Uwekezaji...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumerudisha nyongeza ya mishahara ya mwaka kwa Wafanyakazi

    Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nitakubaliana na CHADEMA juu ya Sera ya majimbo ikiwa tu ni kwa mkakati na utaratibu ufuatao..

    Binafsi, kwa mtazamo wangu ukiachana na gharama kubwa za uendeshaji wa Serikali za majimbo kwa maana ya kwamba mpaka Serikali inaitwa serikali inakuwa ni mamlaka kamili yenye kujitegemea kwa kila kitu. Na kama tutaamua kufuata utaratibu unaotumiwa na Marekani wa kila "state" Ina serikali yake...
  13. JamiiForums Tanzania Njia 5 kuongeza kipato, nje ya utaratibu wa ajira yako ya kudumu

    Kwa kawaida unapokuwa umeajiliwa, au umejiajiri bado unaweza kuongeza kipato mbali ya kile unachopokea. 1. Blogger. Njia hii imependekezwa sana, waandishi weng wameipemdekeza njia hii, nimeona umuhimu kuirudia. Ulimwengu wa sayansi unazidi kusambaa na idadi ya watu wakihamia njia hizi kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Dini si imani, Mimi mkristo nimekubali kuoa ndoa ya kiislamu, ndoa ya kikristo inampa kiburi mwanamke na ni ngumu kusuluhisha matatizo

    Kwa kipindi kirefu nimekuwa nasita kuoa, kwa umri wangu wa miaka 28 nimeona ni wakati sasa niwe na ndoa official, Si mara ya kwanza kufikiria hili jambo, ni tangu nipo 25 nafikiria ila sheria za ndoa za kikristo zilikuwa zikinipa hofu kubwa mno hasa kwa tunayojionea kwa wahanga, Ni lazima...
  15. JamiiForums Tanzania UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi Kila siku wanapanga...
  16. JamiiForums Tanzania Umri wa ndoa kwa binti: Shekhe Ponda yupo sahihi ila kwakuwa Tanzania haifuati Sharia za Kiislam, hoja kizungumkuti

    Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze. Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe. Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  18. JamiiForums Tanzania Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

    Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua. Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
  19. JamiiForums Tanzania Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anzisheni utaratibu wa wahitimu wa elimu za juu kufundisha kwa mwaka mmoja

    Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao ni vijana kufundisha kwenye shule mbalimbali kwa mwaka. Serikali iweke utaratibu mzuri hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…