MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AWAASA WANANCHI KUUZA MAZAO YA CHAKULA KWA UTARATIBU, NJAA BADO IPO
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 22 Julai, 2023 amezungumza na wananchi wa Kijiji cha Iyendwe Kata ya Kapele na kuwasisitiza kuuza mazao ya...
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi.
Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu...
Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.
Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu...
Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person.
Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo...
Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama amevurugwa.
Dogo amesoma shule ya kata na amepambana kweli akapata div One ya 17 na matokeo yake ni...
Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote.
Shukran
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na kisa kupelekwa kwenye maeneo mengine ya utumishi.
Mpango ametoa kauli hiyo akiwa Kigoma ambapo ametaka...
Ni jambo jema kufanya mambo ya kusaidia jamii mfano kushiriki katika shughuli mbalimbali za ukusanyaji fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii hasa wale wenye uhitaji maalumu. Hivi sasa wakati timu zote zikiwa katika mapumziko, taasisi mbalimbali zikiwemo za wachezaji wameandaa mechi mbalimbali za...
Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba?
Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu.
Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu...
Habarini wadau? Nimewauliza TANESCO kwenye thread yao hawajanijibu nimekuja kuomba msaada huku. Je, surveyor kutoka TANESCO analipwa na mteja anayehitaji kuunganishiwa umeme ndo aje afanye survey nyumbani kwako au ni bure?? Nimeuliza hivi maana mimi nimeambia nitoe pesa ili mtoa huduma hiyo...
Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M...
Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
Habari za muda huu wana JF,
Naomba kwa wataalamu wa sheria hasa zile za mikataba ya ajira mnisaidie hili swali,Je,ni utaratibu wa kisheria mtu kufanyiwa probation mara mbili yaani miezi mitatu kwanza na akifaulu hapo anaingia awamu ya pili ya miezi sita au zaidi?
Shukrani.
Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa:
1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani.
2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
Hata kama serikali haina dini lakini hapa tulipofika sasa kuna haja ya serikali kuingilia kati. Hapa mtaani kwangu leo hakukaliki kwa sababu ya kelele za maspika ya ibada. NEMC walisema wataweka utaratibu wa kufanya ibada lakini sijui wanakwama wapi mpaka sasa hawajachukua hatua zozote. Hadi...
Kwa yoyote anayekutana na Miziki ya Sebene na Rhumba (ya zamani na mipya) awe anatuwekea hapa ili Wadau Wengine tujue na tuifuatilie na hata tuwe nayo?
Kama kuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda na huwa Kinanifariji na kunifanya nijione sina Shida za Kimaisha wakati ninazo kuanzia Dar es Salaam hadi...
Ndugu wanajanvi wenzangu mwenzenu nina shida ya kutolipwa sitahiki zangu za likizo kwa kipindi cha miaka sita sasa tangu kupata ajira mwaka 2017. Kwa kipindi chote hicho nimejalibu kufuatilia lakini cjawahi kulipwa. Sasa Ndugu zangu walimu na wanajanvi naomba mnisaidie ni viambatanishi vipi...
Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG kwamba, kwa mjibu wa kanuni na sheria za Bunge, Bunge linaloendelea ni bunge la bajeti peke yake, na...