utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jumba la Utamaduni lachanganya sanaa, maendeleo ya mafuta na urafiki wa China na Uganda

    Mchoro wa ukutani wenye urefu wa mita 80 unaoonyesha ndege wa taifa wa Uganda, korongo, pamoja na dragon wa China anayeashiria maelewano, ulisimama kama kitovu cha tamasha la jadi lililofanyika hivi majuzi katika Kijiji cha Kasinyi, jamii iliyopo mbali katika Wilaya ya Buliisa magharibi mwa...
  2. JamiiForums Tanzania Utalii, Mitandao ya Kijamii na Hatima ya Utamaduni wa Wahadzabe

    Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne hii yameingia kwa kasi isiyozuilika. Wageni na makampuni ya utalii wamevamia makazi yao kwa lengo la...
  3. JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kuzika wafuasi au wasaidizi Pamoja na Mfalme, ulikuwa mzuri kwa namna fulani

    Katika falme za kale, kulikuwa na desturi za kutisha ambapo wasaidizi wa karibu au wafuasi walizikwa pamoja na mfalme aliyefariki. Hii haikuwa tu kwa sababu ya uaminifu, bali pia ilikuwa na maana kubwa ya kisiasa, kiroho, na kijamii. Baadhi ya jamii zilizokuwa na desturi hii ni pamoja na Misri...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM

    Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama. Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia. Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tusiwatukane viongozi wetu, siyo utamaduni wetu na ni Jambo baya mno

    Je yupo mtu anaweza kuwatukana wazazi wake....!? Mama zake wadogo...!? Mama zake wakubwa...!? Baba zake wadogo na wakubwa...!? Mashangazi na wajomba...!? Kwa utamaduni wetu wa kitanzania,Hawa wote ni kundi la wazazi.Hata wanapokuwa wamekwenda kinyume Kuna namna ya kuwashitaki kwa staha na...
  7. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Michezo: Maombi ya kulindwa kwa utamaduni na maisha ya jamii ya Wahadzabe

    Ndugu Katibu Mkuu, Kwa heshima na taadhima, mimi ni Mtanzania mpenda utamaduni na maendeleo ya jamii zetu za asili. Kupitia barua hii, napenda kuwasilisha hoja ya kuitaka serikali kupitia wizara yako tukufu kulinda utambulisho wa jamii ya Wahadzabe dhidi ya vitendo vinavyoweza kuathiri maisha...
  8. JamiiForums Tanzania CCM tusiruhusu majina matatu Urais, sio utamaduni wa Chama

    Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa CCM umesaidia nini Taifa!? Polepole

    Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
  11. JamiiForums Tanzania Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

    Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia. Lucas Mwashambwa
  12. JamiiForums Tanzania Bulabo :Ni utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili naona CCM wamegeuza kuwa uwanja wa siasa.

    GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
  13. JamiiForums Tanzania Uvivu Wa kutafuta maudhui kwa media zetu za mtandaoni utapoteza historia yetu Tanzania

    Picha: Pinterest Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako. Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia. Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
  14. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi, mkiwa na uoga, 'I promise you' mtatawaliwa na dictators

    Wakuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta. "Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
  15. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  16. JamiiForums Tanzania Je, matibabu ya Kitanzania (Tanzania Treatment) ni utamaduni wa Kitanzania? Kwanini tunapiga vita ushoga?

    Watanzania wote waliotendewa vitendo viovu kama hivi kwa kawaida hukaa kimya na kwa aibu hawathubutu kusimulia kwa undani yaliyowakumba kwenye kinachodaiwa matibabu ya Kitanzania? Je kuna uwezekano kwamba watekaji pamoja na viongozi wanaowatuma kufanya hivi vitendo nao hupitia hayo matibabu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

    Wakuuu Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi? == Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika kipindi cha...
  18. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  19. JamiiForums Tanzania Hijab ni vazi la kidini au utamaduni wa kiarabu?

    Hili vazi la hijab ambalo huvaliwa zaidi na wanawake wengi wa dini ya Kiislamu na Waarabu ni vazi la kidini(uislamu) au la utamaduni wa Waarabu?
  20. JamiiForums Tanzania naomba mwenye kujua au maswali ya written ya interview ya Afisa utamaduni II

    Afisa utamaduni II nimechaguliwa kwenda written interview lakini sijui maswali yanatokaje, naomba kueleweshwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…