utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B for Beatrice

    Interview Afisa utamaduni

    Naomba msaada. Anayejua maswali yanayotoka kwenye usaili (Afisa utamaduni) anisaidie..
  2. K

    Utamaduni wa Tanzania umedidimishwa na Kikwete, Magufuli na Samia

    Kikwete ndiyo alianza mambo ya mitandao , akaja dikteta fake mwendazake Magufuli na huyu Mama wa machawa Samia. Hawa wamechangia sana kwenye kudidimiza tamaduni na ndiyo waliouwa demokrasia
  3. H

    Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  4. Pakome

    Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
  5. H

    Ni muhimu sana Watanzania tujenge utamaduni wa kujadiliana kwa hoja zenye staha hata pale tunapotofautiana kimtazamo

    . Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa. Matusi, kejeli na dhihaka haziwezi kuleta suluhu ya changamoto zetu kama Taifa. Badala yake, huchochea hasira, kuharibu...
  6. President of China

    The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
  7. Damaso

    TBC jifunzeni Kutoka kwa CGTN: Badala ya Kuisifu serikali, tumie Nguvu zenu pia kukuza Ubunifu na Utamaduni wa Kitanzania

    Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
  8. K

    Utamaduni wa uongo! Umetufikisha hapa

    Watanzania wote tunajua hakuna hata Watanzania milioni 15 walioenda kupiga kura! Leo hii tunaambiwa eti wapiga kura ni milioni 32 sasa hawa vijana wakichoma nyumba zetu tunawalaumu wakati pesa za mikopo wenyewe ndiyo walipaji. Lakini kuna kizazi cha Watanzania wenyewe ni wa kujiaminisha uongo na...
  9. L

    Jumba la Utamaduni lachanganya sanaa, maendeleo ya mafuta na urafiki wa China na Uganda

    Mchoro wa ukutani wenye urefu wa mita 80 unaoonyesha ndege wa taifa wa Uganda, korongo, pamoja na dragon wa China anayeashiria maelewano, ulisimama kama kitovu cha tamasha la jadi lililofanyika hivi majuzi katika Kijiji cha Kasinyi, jamii iliyopo mbali katika Wilaya ya Buliisa magharibi mwa...
  10. Damaso

    Utalii, Mitandao ya Kijamii na Hatima ya Utamaduni wa Wahadzabe

    Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne hii yameingia kwa kasi isiyozuilika. Wageni na makampuni ya utalii wamevamia makazi yao kwa lengo la...
  11. Fascinating

    Utamaduni wa kuzika wafuasi au wasaidizi Pamoja na Mfalme, ulikuwa mzuri kwa namna fulani

    Katika falme za kale, kulikuwa na desturi za kutisha ambapo wasaidizi wa karibu au wafuasi walizikwa pamoja na mfalme aliyefariki. Hii haikuwa tu kwa sababu ya uaminifu, bali pia ilikuwa na maana kubwa ya kisiasa, kiroho, na kijamii. Baadhi ya jamii zilizokuwa na desturi hii ni pamoja na Misri...
  12. K

    Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM

    Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama. Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia. Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
  13. Just Pray

    GE2025 Stephen Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  14. N

    Tusiwatukane viongozi wetu, siyo utamaduni wetu na ni Jambo baya mno

    Je yupo mtu anaweza kuwatukana wazazi wake....!? Mama zake wadogo...!? Mama zake wakubwa...!? Baba zake wadogo na wakubwa...!? Mashangazi na wajomba...!? Kwa utamaduni wetu wa kitanzania,Hawa wote ni kundi la wazazi.Hata wanapokuwa wamekwenda kinyume Kuna namna ya kuwashitaki kwa staha na...
  15. incredible terminator

    Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Michezo: Maombi ya kulindwa kwa utamaduni na maisha ya jamii ya Wahadzabe

    Ndugu Katibu Mkuu, Kwa heshima na taadhima, mimi ni Mtanzania mpenda utamaduni na maendeleo ya jamii zetu za asili. Kupitia barua hii, napenda kuwasilisha hoja ya kuitaka serikali kupitia wizara yako tukufu kulinda utambulisho wa jamii ya Wahadzabe dhidi ya vitendo vinavyoweza kuathiri maisha...
  16. SSH2025_2030

    CCM tusiruhusu majina matatu Urais, sio utamaduni wa Chama

    Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
  17. K

    Utamaduni wa CCM umesaidia nini Taifa!? Polepole

    Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
  18. W

    Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
  19. SSH2025_2030

    Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

    Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia. Lucas Mwashambwa
  20. The Burning Spear

    Bulabo :Ni utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili naona CCM wamegeuza kuwa uwanja wa siasa.

    GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
Back
Top Bottom