utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti: Ukitaka mwanamke asikuangalie sana fanya haya...

    Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano. Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi... Rangi Urefu Umbile Kipato Nini unamzidi Kipi anakuzidi Anakudefine pia who u might be Sasa tafiti zinaonyesha kwamba mwanamke akikuangalia...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni Yoweri Kaguta: Wanasayansi wa Uganda wako Maabara kufanya utafiti wa kutengeneza chanjo ya CORONA

    Wanasayansi wa Uganda wafanya utafiti wa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema wanasayansi nchini humo wanajitahidi kufanya utafiti utakaosaidia kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona. Rais Museveni amesema, wanasayansi kutoka Taasisi ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania University of Nairobi imependekeza 2.5 % ya mfuko (funds) wa Covid ugharamia utafiti wa Corona

    The University of Nairobi has proposed that 2.5 per cent of funds mobilised to fight Covid-19 be channelled towards the development of diagnostics, therapeutics and vaccines. The university, in a memo to the Senate’s ad hoc Committee on the Covid-19 Situation, further called for tax exemptions...
  4. JamiiForums Tanzania Utafiti: Yawezekana maambukizi ya corona ni mengi kuliko inavyoripotiwa duniani kote

     BERLIN, UJERUMANI WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Göttingen nchini Ujerumani wametahadharisha kuwa huenda visa vya maambukizi ya virusi vya Corona duniani vimepindukia mamilioni kwa mamilioni. Watafiti wanasema kufikia sasa ni asilimia 6% tu ya mambukizi hayo ambayo yamegundugulika...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

    Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Barabara ya Jangwani yafungwa kutokana na mvua zinazoendelea

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 10:15 jioni kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam Wasafiri wanashauriwa kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara. Wakifika Morocco wanaweza kuendelea na...
  8. JamiiForums Tanzania Utafiti mpya wa kisayansi wa Covid19 – Msaada mkubwa wa kujikinga na kuzuia maambukizi kwa wengine

    Watafiti wa vyuo vikuu na taasisi kadhaa za utafiti wa magonjwa ya mlipuko nchini Marekani, wamechapisha utafiti mpya wa kimaabara unaotoa mwanga mkubwa wa namna virusi wa Covid19 wanavyasambaa na kuambukizwa kutoka mtu mmoja hadi mwingine (UKO HAPA). Kwa kuwa sio kila mtu anasoma machapisho ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa maradhi ya homa ya mapafu corona virus duniani kote

    Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu naosababishwa na Virusi vya Corona unaoenea kwa kasi duniani, Tanzania sio kisiwa Naomba wote tufanye yafuatayo ili kuchukua hatua mapema: 1. Wahi kununua Mask kwa familia, mlipuko ukianza hizo Mask hazitaweza kupatikana kiurahisi 2. Nunua...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la Mimba Kutunga Nje ya Mfuko wa Uzazi (Ectopic Pregnancy)

    Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…