utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya utafiti wa siku nyingi hatimaye nimegundua hili...

    Wasalaam ndugu zangu. Baada ya kuingia chimbo la takriban miezi kadhaa nikifanya tafiti mbalimbali, ghafla nikajikuta navutiwa sana na utafiti juu ya hili jambo. Ni jambo moja nyeti sana ambalo watu wengi hawajalitilia maanani, si wanaume wala wanawake. Kwa kifupi wote hawajagundua juu ya jambo...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Joto kali linalosababishwa na ukuaji wa miji, linatishia maisha ya mijini

    Ongezeko la idadi ya watu pamoja na joto ulimwenguni ni sababu zinazotajwa kuongeza joto mijini, matatizo ya kiafya na kufanya iwe vigumu kuhamia maeneo ya mijini hasa katika mataifa maskini, kulingana na utafiti mpya. Ripoti hiyo iliyochapishwa na jarida la Chuo cha Taifa cha Kisayansi...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya utafiti kwa miaka 3, leo nimeconclude rasmi hamna njia yoyote ya kungiza hela bila kufanya chochote

    Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote...
  5. JamiiForums Tanzania Utafiti katika sekta ya elimu ni muhimu kwa ajili ya kuboresha elimu yetu

    Elimu ni mkusanyiko au muunganiko wa stadi, maarifa na ujuzi anakua nao mtu baada ya kuupata kwa njia mbali mbali, rasmi na zisizo rasmi. Katika elimu yetu ya Tanzania ambayo ina mfumo wa elimu ya awali mpaka chuo kikuu imegawanyika katika miaka mbali mbali ambayo mwanafunzi anatakiwa kusoma ili...
  6. JamiiForums Tanzania Utafiti: Harufu mbaya ya ushuzi inazuia Kansa, magonjwa ya akili

    Pale unapohisi hali ya tumbo kujaa “gesi”, suluhu pekee huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo. Habari njema kwa mujibu wa wanayansi toka Chuo Kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, kitendo cha kujamba japo kinachukiza na kukera lakini kina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu. Wanasayansi hao...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya. Nina Shahada ya Biotechnology and Laboratory Science

    Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti. Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19. Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO. Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini. Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu 330 wamefariki kwa kupiga picha maeneo hatarishi

    Utafiti wa AIIMS wa Nchini India umeeleza kuwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita Watu 330 wamefariki wakati wakiwa wanapiga picha kwenye maeneo hatari kama kwenye majengo marefu, Barabarani n.k kwa lengo la kupost kwenye mitandao yao ya kijamii.
  11. B

    JamiiForums Tanzania LHRC: Ripoti ya utafiti wa Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai na Uhujumu Uchumi

    06 September 2021 Morogoro, Tanzania LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
  12. JamiiForums Tanzania Vita ya Abushiri kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889

    Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani. Wajerumani waliita "Uasi wa Waarabu". Viongozi Viongozi wake waliojulikana zaidi walikuwa Abushiri ibn Salim...
  13. JamiiForums Tanzania Afrika ya Mashariki ya Kijerumani

    Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo Mwaka1888) Sarafu ya rupia 1 iliyotolewa kwa jina la "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya Mashariki); tangu 1904 zilitolewa kwa jina la koloni yenyewe bila kutaja kampuni tena Afrika ya Mashariki ya...
  14. JamiiForums Tanzania Maneno haya yani ukweli ndani yake

  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

    Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012; Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia. Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
  16. JamiiForums Tanzania Bodaboda zinachangia kumomonyoka kwa maadili

    Wakuu, Biashara ya bodaboda imekuwa mkombozi kwa kurahisisha usafiri katika maeneo mengi nchi hii, mijini na hata nje ya miji. Lakini pia imekuja na mambo mengi maovu, kama vile kutumika katika ujambazi na unyang'anyi ukiachilia mbali ajali nyingi zinazosababisha ulemavu wa kudumu hata vifo...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

    Binadamu mtu mzima angalau kwa siku anazungumza maneno 16,000 kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanazuoni (Neuman, 2012) The human adult utter at least 16,000 words a day, mostly through verbal exchange (Neuman, 2012). Sasa sijui huu utafiti unawahusu na wale wasutaji wa mitaa yetu pendwa...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

    Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
  20. JamiiForums Tanzania CDC: Waliochoma chanjo ya Corona wavae barakoa katika mikusanyiko ya ndani

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…