utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuku wa kisasa kwenye Manispaa za Ilala na Kinondoni wana kiwango kikubwa cha dawa za kuua Bakteria

    Utafiti uliofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu Cha Muhimbili kwenye machinjio ya kuku ya Shekilango na Manzese umegundua uwepo wa kiwango kikubwa cha dawa za kuua bakteria ambazo wafugaji huzitumia katika kuwatunza. Watafiti hawa wamebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha dawa ya tetracycline...
  2. JamiiForums Tanzania Kibanda cha mlinzi gharama yake ni Tsh Milioni 11

    Viongozi wanapiga pesa kibanda hicho hakiwezi kufika hata Shilingi Milioni 4 Looohh Majangaa kweli. Ama kweli Kazi iendelee........Hongera Mama Rais.
  3. JamiiForums Tanzania Madhara ya Vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy Drinks) kwa afya

    Energy drinks hutangazwa kama vinywaji vinavyoweza kuongeza nguvu na kuamsha ubongo. Matumizi ya bidhaa hii yameongezeka sana siku za hivi karibuni jambo lilaloongeza hamu ya kujifunza na kufahamu madhara yake kwa sasa na baadae. Wingi wa kemikali za caffeine huathiri utendaji kazi wa moyo na...
  4. JamiiForums Tanzania Utafiti: Chanjo mpya ya Malaria kutoa ulinzi wa 80% kwa hadi miaka 2

    Majaribio yaliyofanyika kwa zaidi ya watoto 400 wa Afrika Magharibi ya chanjo hiyo yanaonyesha kuwa inatoa ulinzi wa hadi 80% kwa hadi miaka 2, dhidi ya #Malaria inayogharimu maisha ya takriban watoto 500,000 wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara kila mwaka Chanjo hiyo imetengenezwa na Wanasayansi...
  5. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Kuna vurugu na malumbano kidogo sana ama hakuna kabisa kwenye ndoa zenye wanaume wanaovuta bangi tofauti na wanaokunywa pombe

    Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k. Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena: Matishio ya amani na usalama ni kichocheo cha utafiti na ubunifu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa matishio ya Amani na Usalama yameendelea kubadilika muda wote, na hivyo kuongeza umuhimu wa utafiti pamoja na ubunifu unaokwenda sambamba na kasi wa ukuaji na mabadiliko ya kiteknolojia duniani, ambapo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utafiti na Maendeleo Tanzania

    Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua hatua dhidi ya changamoto hizo. Utafiti ni moja ya kichocheo kilichochangia maendeleo ya dunia. Hii ni...
  8. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kutolia kunadhoofisha Nguvu za Kiume

    Wakati jamii ikitafsiri mwanaume kulia anapopatwa na matatizo ni udhaifu, wataalamu wa saikolojia na viongozi wa dini wanasema ni afya na humpa mhusika faraja ya maumivu anayopitia. Wameonya kuwa kukaa muda mrefu bila kuonyesha maumivu uliyoyapata kunasababisha kupoteza hamu ya vitu muhimu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Aliyegundua kwamba pakiti ya condom zikae tatu nani? Nafanya utafiti wangu hapa kuona kama moja inaweza tumika bao zote

    Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu. Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu. Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa...
  10. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti TWAWEZA: Asilimia 53 ya watanzania wameridhika na maboresho ya huduma ya afya

    Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita. Ukweli juu ya tafiti hiyo unathibitishwa kupitia ujenzi na ukarabati wa...
  12. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kwanini Madaktari wanaingia kazini wakiwa wamelewa

    Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua. Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya akili, wafanyakazi wengi wa afya wanakabiliwa na matumizi mabaya ya dawa za kulevya. Takriban...
  13. JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

    Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali inazidi kuwaumbua CHADEMA ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂. CHADEMA kazi mnayo...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  16. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mvurugiko wa homoni chanzo cha kukosa nguvu za kiume, hamu ya tendo

    Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Utafiti wa kisayansi na vitendo

    UTAFITI WA KISAYANSI KWA VITENDO Mama: Selvina nenda kalale kesho shule Selvina: mama bado kidogo ndio inaishia Mama: kalale haraka kabla sijafika apo kupiga Selvina alizima TV na kwenda kulala. Ni binti wa miaka kumi na tatu alipenda Sana kuangalia video za sayansi ya anga. Kila siku alikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti wa GSMA ulionesha athari kubwa ya tozo za miamala ya simu

    Taarifa ya utafiti ndani ya miezi sita ya uanzishaji wa tozo kwenye miamala ya simu umeleta athari kubwa kwenye mifumo ya fedha ambapo miamala ilipungua kwa zaidi ya 53% lakini pia kulikuwa na upotevu wa ajira kutokana na kufungwa kwa vibanda vya kutolea huduma. Kibaya zaidi mapato ya Serikali...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania TARURA wilaya ya Ubungo fanyeni utafiti

    Jana tarehe 14/8/2022 Mhe. Rais amewaonya watendaji wa TARURA kutokutoa zabuni kwa wakandarasi wababaishaji. Wananchi wa Wialaya ya Ubungo kata ya Kibamba eneo la Kikuvya gogoni/kituo cha polisi, tunaomba viongozi wa TARUARA wachunguze ujenzi wa barabara inayo anzia Kikuvya GOGONI kituo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Utafiti: 57% Watoto wachanga ndio wanaonyonyeshwa inavyotakiwa chini ya umri wa miezi 6

    Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama na kwamba asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mhe. Mwanaidi Khamis wakati akimwakilisha Waziri wa Afya, Mhe Ummy Mwalimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…