uswahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Waswahili na Uswahili Wao

    https://youtu.be/_Yito30ilKY?si=W1xbGI6r89daCvhE
  2. Mohamed Said

    Tuwajue Waswahili na Uswahili wao

    TUWAJUE WASWAHILI NA USWAHILI WAO Sifa kuu ya Waswahili ni uungwana. Hebu tuwajue Waswahili na Uswahili wao. Picha ya kwanza inawaonyesha Waswahili katika Baraza la Wazee wa TANU mwaka wa 1957. Picha ya chini yake inamuonyesha Mswahili Mzee Mshume Kiyate akimvisha kitambi kumfariji Baba wa...
  3. Chibike

    Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  4. N

    Shabiby Line ya Dodoma-Songea acheni uswahili tunzeni muda

    Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
  5. V

    Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

    Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
  6. Knock life

    Mtu anajiita 45 ukifatilia kwa makini hata 45 yenyewe hajui ni nini

    Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba. Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
  7. Prof_Adventure_guide

    Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

    Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog. Me? I’m a...
  8. Francis Mawere

    Uswahili na waswahili. Mbinu za kivuta. Njoo jionee maufundi

    Ooooy! Niaje wakuu, Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge lake na Wengine wengi. Embu Leo waswahili tushirikiane katika kuandika zile Sounds/mistari/ maneno...
  9. KING MIDAS

    Hiki ndio kipimo cha Uswahili. Jipime, je wewe ni Mswahili?

    TAFSIRI YA MANENO YANAYOTOKA NA “KISWAHILI” KWA MUJIBU WA WASWAHILI WENYEWE. “Saa ya Kiswahili”: Saa isiyozingatia muda wa miadi (ni kinyume cha, “saa ya kizungu” ambayo humaanisha, “Juu ya alama”) “Uswahili”: Tabia ya ubabaishaji, iliyopungukiwa weledi na ustaarabu! “Uswahilini (au...
  10. GENTAMYCINE

    Unapojishusha ni ili watu wakuonee huruma, unawaona wachawi au ni ushamba tu?

    Unajua au unamkuta kabisa Mtu anajenga Nyumba yake nzuri tu na Kubwa halafu utamkuta anamwambia Mtu kuwa nilikuwa site najenga Kakibanda Kangu au nilikuwa najenga ka Kimjengo kangu. Sasa unavyojishusha Kwetu ni kwamba tukuonee Huruma au unatuona Sisi Wachawi / Wanga au ni Ushamba tu unakusumbua?
  11. Boeing787-8

    WFP mmeanza lini uswahili?

    Hi wakuu. Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview. Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few...
  12. sky soldier

    Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

    Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)...
  13. Jidu La Mabambasi

    Ikulu, hili la Fr. Kitima na utiaji sahihi ni uswahili wa mitaani

    Kwanza niseme wazi kuwa, tayari nimeunga mkono juhudi za Mama Samia kuendeleza bandari kwa kuwapa DP World baada ya kurekebisha vipengele vya mkataba. Hivyo vipengele bado havipo public, but we hold our President accountable kuwa ana nia njema. Tatizo ni uswahihii uswahili uliotumika kualika...
  14. Mr Lukwaro

    Nilijua ni Uswahili, kuwa ukianza kufanikiwa lazima Uchukiwe na watu hata usio watarajia

    Psychology inakiri kwamba kwenye mafanikio kuna mapambano, Wapo watu ambao wakati wana hustle walikuwa marafiki sana tu, Lakini kwa Bahati mbaya Baada ya mafanikio kuanza zaidi kwa mmoja , Chuki huibuka na kutengeneza Uadui. Je, ufanye nini ili kuepuka Changamoto hiyo? - Kwanza Tengeneza usiri...
  15. Notorious thug

    NMB na CRDB wamejaa Uswahili kwenye huduma zao

    Kuna habari nyingi za wateja kuibiwa fedha zao, kadi kumezwa ovyo, mashine kutokutoa risiti, makato makubwa na yasiyoeleweka, huduma mbovu na mambo mengi ya kihuni na ubaya hawajirekebishi bora wateja wahamie EXIM, STANBIC & KCBL
  16. Dr Restart

    Ukata na Uswahili: CEO Andre Mtine aondoka Yanga

    Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga. Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi. Mtine ni...
  17. Liverpool VPN

    Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  18. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  19. M

    Sijaona Kosa la Mzungu, ila najua ameondoshwa kutokana na Uswahili, Majungu na Uafrika Wetu

    Mchezaji wa Simba, Dejan Georgejevic kupitia akaunti yake ya Instagram amesema mkataba wake umevunjwa kuitumikia klabu hiyo. Na kama leo hii ( hasa CEO ) Barbara Gonzalez uliyemleta huyu Mzungu umeona hafai ni kwanini hapo mwanzo Mimi MINOCYCLINE na Yule mwana Jamiiforums Maarufu GENTAMICINE...
  20. Kijakazi

    Uzanzibari na Uswahili unasingiziwa sana!

    Unakuta mtu ni character yake yeye binafsi lkn Uswahili wetu wote unasingiziwa kwamba tabia yake ni kawaida kwa“Waswahili“ yote hii ni kukwepa character flaws zake. Kuna character ya mtu yeye kama yeye na haina uhusiano na Utamaduni wake, mfano kutokujua au kutokuwa na uwezo wa kujua na kuchuja...
Back
Top Bottom