Unakuta mtu ni character yake yeye binafsi lkn Uswahili wetu wote unasingiziwa kwamba tabia yake ni kawaida kwa“Waswahili“ yote hii ni kukwepa character flaws zake.
Kuna character ya mtu yeye kama yeye na haina uhusiano na Utamaduni wake, mfano kutokujua au kutokuwa na uwezo wa kujua na kuchuja...
Kiukweli ukiangalia namna GSM na viongozi wa Yanga wanavyoendesha timu kiukweli inashangaza sana. Nilitoa uzi hapa nikiziomba timu zetu zinazowakilisha nchi zijikite kwenye maandalizi ya uhakika kwa kucheza walau mechi zisizopungua nne ili kuimarisha vikosi na pia kuwaweka wachezaji katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.