ustawi wa jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

    Haiwezekani!
  2. KERO Waziri Wizara ya Elimu, Ustawi wa Jamii, Wizara ya Maendeleo Wanawake na Watoto, Katibu Mkuu, Necta, Nacte, Tie. OKOENI HAWA WATOTO TUTAWAPOTEZA

    https://harvardea.sc.tz/index.php Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL. Hii shule imekuwa na maamuzi ya kibabe kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa watoto wetu. Mwaka jana waliitisha kikao...
  3. Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  4. Jinai ya kudanganya taarifa za Cheti cha kuzaliwa cha mtoto

    Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu. Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
  5. GE2025 Hali tete! Utawala bora na ustawi wa jamii nchini, sababu ni hii

    1. Naam... Sababu kubwa ni Siasa kwa maana ya siasa kuelekea uchaguzi, huku ikikolezwa na mafahari wawili wakimataifa wasioweza kukaa katika zizi moja. Hao mafahari wananguvu na wanaingilia hadi mambo nyeti ni wakongwe katika gemu ya siasa mithili ya kungwi/somo ambaye ana mingle katika ndoa ya...
  6. Hii ndio hatari kubwa zaidi kwenye ustawi na usalama wa mataifa ya magharibi

    Hatar mpya katika ustawi na usalama wa mataifa ya magharibi na dunia ilio timamu n muunganiko itikadi ya mrengo wa kushoto na itikadi ya msimamo mkali Katika usawa huu ambao watoto wenu wanatakiwa wafundishwe kuhusu ushoga tangu mashuleni, kuupiga chini ukristo kwa sababu hauendani na ushoga na...
  7. BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu +255754471958 BaruaPepe...
  8. BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jifunze kusema "hapana" unapochoka ili kulinda afya ya akili πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu...
  9. BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika. πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  10. BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  11. BADO SIKU 10: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 10: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Vunja ukimya ongea na mwenzako, Unashauriwa kuzungumza na watu wako wa karibu kama vile familia na wafanyakazi wenzako ili kuimarisha afya yako ya akili πŸ“… 25 - 30...
  12. Kulekea Wiki ya Ustawi wa Jamii Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera E. Mhando ameendesha kikao cha Wamiliki wa Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo

    #Matukiokatikapicha Kulekea Wiki ya Ustawi wa Jamii Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Nandera E. Mhando ameendesha kikao cha Wamiliki wa Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo Mchana, Makao ya Watoto na Nyumba Salama ikiwa ni...
  13. BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
  14. H

    Dawati la jinsia na watoto kuwekwa polisi ni bure tu bora liende ustawi wa jamii

    Polisi ni polisi tu hawezi kutenda haki kwa mwaume akamwacha mwanake. Wanaume wengi wanapopeleka malalamiko kwenye dawati hilo polisi wao huwakumbatia wanawake na watoto hara kama mwanamke ndiyo tatizo. Hali hii imepekea wanaume wengi kupoteza mali zao au kuhama na kwenda kuanza upya huku...
  15. Tamba na Jicho πŸ‘ la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

    Wasalaam Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha. Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa...
  16. Utelekezaji wa Watoto si tatizo la wanaume pekee – Wito kwa Waziri wa Ustawi wa Jamii Kutafakari kwa Kina

    Haya ni maelezo yangu kwa Mheshimiwa Dkt. Gwajima D kutokana na uzi wake alioundika jana unaosomeka >Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto Kilichopelekea kuandika maoni yangu ni ile post namba #7 ya Mheshimiwa Waziri kwenye ule uzi. Iliyosomeka > Halafu sasa mtoto...
  17. A

    KERO Responded Hatari kwa usalama wa wanafunzi chuo cha Ustawiβ€”DSM: Ratiba ya masomo hadi saa 4 usiku

    Wanafunzi wa Chuo cha Ustawiβ€” Institute of Social Work, Bamaga, Dar es Salaam wanalalamika ratiba za masomo zinazoenda mpaka Saa 4 Usiku. Hii inahatarisha usalama wao hasa wakati wa kurudi makwao huku wengine wakitokea mbali kama vile Gongo la Mboto, Mbagala, Tegeta; hii inapelekea kufika makwao...
  18. Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  19. B

    Kikwete aeleza umuhimu wa mwenge wa uhuru kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
  20. U

    Ustawi wa jamii

    Naomba nichangie suala linalohusiana na ustawi wa jamii. Siku za karibuni kuna utafiti nimefanya ambao sio rasmi lakini kwa takwimu na matukio niliyobaini inanisukuma kuandika hapa jukwaani. Kwa hapa Dar es Salaam naona kuna ongezeko kubwa la watoto wa mtaani. Hawa watoto wanazaga ovyo mchana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…