Wapenzi wanajamii
Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya...