ustaarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

    Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Misiba, Maziko na Maombolezo zimeanza kupoteza maadili ya asili na imani zetu, Utu na Ubinadamu katika jamii

    Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu, Makazi, Maendeleo na Maisha ya watanzania na watawala (machifu na watemi)

    England United Kingdom Dresdane German Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya. Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk. Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Katika kuendeleza ustaarabu ukiwa na shunguli unaweka hivi vifaa kwenye vyumba vya nje.

  5. Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipojifunza ustaarabu watapoteza malengo

    Endapo CHADEMA inataka kufikia malengo yake ya kisiasa basi wanapaswa kubadilika au kubadili aina ya style waliyo izoea kuitumia. 1. Waachane kabisa na lugha za matusi na kejeli ambazo tangu awali wamezizoea. Mara nyingi viongozi wa CHADEMA na hata wafuasi wake wamekuwa wakitumia kauli za...
  6. Bams

    JamiiForums Tanzania CCM inapata wapi uhalali wa kuwafundisha watu ustaarabu?

    Kiongozi Mkuu wa CCM aliwahi kuwaambia wananchi waliokuwa wakilalamikia ukubwa wa tozo ya huduma ya choo kuwa, kama hawataki kulipia hiyo tozo, wabakie na mavi yao. Waziri wa Serikali ya CCM aliwahi kuwaambia wananchi waliokuwa wakilalamikia ukubwa wa tozo ya huduma za kivuko Kigamboni kuwa...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya Ajabu sana. Tuna kiwango kikubwa sana cha ustaarabu

    Habari za wakati ndugu zangu wapendwa; Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake. Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Yanga wameonesha ubinafsi na ukosefu wa ustaarabu wa hali ya juu sana

    Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
Back
Top Bottom