a) Jiwekee msimamo ratiba yako ya kulala kama hakuna dharura nyingine iwe saa fulani Mpaka saa fulani. Hili ndo jambo kubwa la kwanza.
b) Mchana usichoke choke kizembe fanya fanya mazoezi mapema tu kabla haijaingia usiku sana.
c) Punguza au jiepushe na pombe, caffeine, energy drink, sigara...