usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na surprise usiku wa kuamkia tarehe 29; Mabakabaka part 2

    Endeleeni kushupaza shingo. Ukombozi huoooooo! Hatutoi codes (mwisho wa thread).
  2. JamiiForums Tanzania Nini unakimiss usiku wa leo?

    Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators. Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF. Vipi wenzangu mnamiss nini?
  3. JamiiForums Tanzania Kuota unakula usiku wa manane

    Hizi ndoto zinasumbua sana sana, Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc Na kunakuwepo chakula kingi sana Na watu wote nawaona tunajuana kabisa hata jana nimeota nakula tilapia choma mkubwa tu. Na best friend. Problem nikiamka,sijiskii kula Chochote ,tumbo limejaa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  5. JamiiForums Tanzania Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
  6. JamiiForums Tanzania Radio One hizi playlist zenu za usiku kwanini zinajirudia rudia sana

    Radio one mna shida gan playlist yenu ya usiku ipo vile vile mwaka wa 10 sasa, ata kama ni Auto DJ mnashindwa kuchagua nyimbo mchana?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Uharibifu, Ukombozi Uanze usiku wa 28 Oktoba

    Siku zote mapambano ya ukombozi huanza usiku wa manane. Na ndiyo maana madikteta yote yakiona mambo yanawaendea vibaya, hatua ya kwanza huwa ni kuwazuia watu kutembea usiku. Uhuru wa Tanganyika ulitangazwa usiku wa tarehe 8 kuamkia tarehe 9 December 1961. Mapinduzi ya Zanzibar yalikamilika...
  8. JamiiForums Tanzania Usiku mnakulaga nini wenzangu?

    Hey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku? Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
  9. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel usiku huu wanaingia Gaza city na vifaru vyao

    IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita. Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
  10. JamiiForums Tanzania Mikumi kuwa makini usiku huu, kuna lori linawaka moto

    π—§π—¨π—‘π—”π—’π—§π—¨π— π—œπ—” 𝗕𝗔π—₯𝗔𝗕𝗔π—₯𝗔 𝗬𝗔 π— π—•π—˜π—¬π—”, π— π—œπ—žπ—¨π— π—œ π— π—•π—¨π—šπ—”π—‘π—œ π—žπ—¨π—‘π—” π—Ÿπ—’π—₯π—œ π—Ÿπ—œπ—‘π—”π—ͺπ—”π—žπ—” 𝗠𝗒𝗧𝗒. π—§π—˜π— π—•π—˜π—” π—žπ—ͺ𝗔 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔π—₯π—œ
  11. JamiiForums Tanzania Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  12. JamiiForums Tanzania Kukulana mchana vs kukulana usiku

    Hivi wakuu Kati ya kupigana miti mchana vs kupigana miti usiku ipi inanoga?
  13. D

    JamiiForums Tanzania PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

    Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Shalom Sikutegemea kuona umati kama ule ukijitokeza kumpokea mgombea wa CCM kwa kiasi kile. Watanzania tuwaeleweje? Kwamba Polepole hamumsikii?... Hamumuelewi au!! Kujazana vile kwenye mikutano ya CCM mnatupa ujumbe gani Watanzania wenzenu tusio na upande? Naogopa
  15. JamiiForums Tanzania Saa 3 usiku bado mbali ngoja nilale ifike haraka

    Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana. Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka alarm 20:55. Tukutane hiyo saa 3 kwenye umbea. Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki 4. Wezi wanakoficha pesa 5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini 6...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

    Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania. Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na...
  18. JamiiForums Tanzania Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa:Muendelezo

    Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku. DMZ ni code ya kijasusi
  19. JamiiForums Tanzania Mahakamani kuu itisheni kesi ya Lissu,LASIVYO nanyi usiku huu wa saa KUMI waachemi wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa walau kwa lisaa limoja.

    Mahakama kuu itisheni kesi ya Lissu la sivyo nanyi waacheni wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa ya walau kwa lisaa limoja Ili. Mwone uchungu
  20. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ukiwa usingizini?

    Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana ndo shida ikaisha. Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaje😁?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…