Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,748
- 5,120
Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana ndo shida ikaisha.
Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaješ?
Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaješ?