usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Picha ya satellite ya Korea Kaskazini na Kusini wakati wa usiku (2016)

    The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative. Capitalist South Korea takes up the bottom half of the peninsula, and you can clearly see all the bright...
  2. Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  3. Haya ni maono yangu ya usiku!

    Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida. Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii. Nikiwa...
  4. T

    Kumbe humu JF aisee kuna watu usiku hawalali

    Dah basi bwana jana usiku nikaamka nikaenda zangu uani kupunguza maji, nilivyorudi kulala usingizi ukachelewa kunijia nikachukua simu nikawa naangalia kitu cha kupotezea muda wakati nauskilizia usingizi kwa mara nyingine ndo nikajikuta nimeangukia jf. Kitu kilichonishangaza ni idadi ya users...
  5. A

    KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  6. Lesotho usiku huu baridi Kali sub zero

    Lesotho usiku huu utadhani Urusi wakati wa winter. Temperature zimeshuka hadi -4°C Johannesburg 8° C, Cape town 13° C, Harare 14°C, Gaborone 9°C Dar es salam 24°C Arusha 17° C, Njombe 9°C, Majinga 13°C https://youtube.com/shorts/zOagRFdGUsA?si=iDT6m21Z3CuZ71aQ
  7. Ujue ugonjwa wa kulala ghafla mchana hata kama ulilala masaa mengi usiku.

    Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu unaitwa, Narcolepsy. Huu ni ugonjwa wa usingizi wa mfumo wa neva unaosababisha mtu kulala ghafla wakati...
  8. Usiku ule ulikuwa mkubwa na mzito sana kwetu.Tukio lililoacha kumbukumbu nzito maisha mwangu

    Mapendo Daima. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa na umri wa miaka 10 Famili yetu ilipatwa na tukio kubwa lenye kuacha historia kubwa sana. Tukio la kinyama ambalo daima tulikuwa tuna sikia tu kwa wengine. Majira ya saa12 jioni jua likielekea kuzama nikiwa mimi na wadogo zangu wa3 tukirudisha...
  9. Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

    Hii sio hadithi bali ni simulizi yangu iliyobeba uhalisia wa yale niliyopitia nikiwa JF.. Mimi ni introvert.. Hivyo si mwepesi sana kusimulia maisha binafsi kama walivyo extrovert Nilijifunza mambo ya kiroho pamoja na uchawi darasani na nje ya darasa na kutunukiwa madaraja niliyostahili kwa...
  10. Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

    Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali. Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje? Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
  11. Nimetua bongo usiku wa kuamkia leo,,,Fasta nikaingia nyumba ya Ibada,,,halafu mkutano na wajukuu zangu...

    Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,, Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu.... Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika...
  12. Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

    Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji. Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa...
  13. Nusura nife kwa tatizo la moyo kisa matumizi ya smartphone hadi usiku wa manane!

    Habari ndugu na dada zangu. Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee! Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
  14. Kila unachokijua sasa ni uongo,ulidanganywa... Ukweli wenyewe ulifichwa na sasa upo kwenye njozi nzito za usiku wa manane

    MIAKA 500 ZA UDANGANYIFU Miongo Mitano ya Udanganyifu: Mabadiliko ya Ramani na Biblia Kama Silaha ya Wokovu Katika historia ya wanadamu, kuna matukio mengi ambayo yameathiri kwa kiasi kikubwa jinsi tunavyojua dunia na sisi wenyewe. Moja ya matukio hayo ni mabadiliko ya ramani na majina ya...
  15. Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌ Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
  16. Mrejesho baada ya kufika Dar usiku na kuomba mwenyeji anipokee kwa dharura

    Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye...
  17. Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

    SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025. Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
  18. Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
  19. W

    baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  20. Usiku wa Ngugi Dar es Salaam

    https://www.youtube.com/watch?v=kAmm4ucvBDM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…