usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimenusurika kuambukizwa HIV usiku wa leo, nimekoma

    Habari za humu wakuu Nilijieka kwa mdada fulan hivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasmi. (Mimi ni mme na baba wa familia) Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. Nikiwa kwenye mizunguko yangu siku ya J3 na kutana na yule mrembo ambae tuliacha...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi

    Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi
  3. JamiiForums Tanzania Sijaweza lala usiku kucha, shemeji anachomfanya dada sipendezwi nacho kabisa

    Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa. Najiuliza hili jambo anashindwa kugundua kuwa sauti...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  5. JamiiForums Tanzania Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

    Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2. Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu magari mengine kutumika kama daladala mida ya jioni na usiku mkoani Dar-es-salaam

    Kutokana na adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka around saa 3 na saa 4 usiku, nashauri serikali iruhusu magari ambayo yanaweza kubeba abiria(mifano NOAH) yaruhusiwe ili kuondoa mateso na adha kwa abiria. Ushauri huu ni Kutokana na unwell kuwa katika mida...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mechi za Usiku Uwanja wa Mkapa mwanga ni mdogo

    Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania. Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
  8. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Kuanzia usiku wa leo hakuna Panya Road atasalimika, operesheni inayoanza si salama kwao

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika kufa usiku huu na ajali

    Jamani ajali haina kinga, Gari aina ya canter Limekuja kugonga chumbani kwangu, baada ya kufeli breki. Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu, likajaa wanguwangu mpaka chumbani. Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana, tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia, kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar

    JOTO la mpambano wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Simba utakaopigwa Jumamosi Aprili 30, 2022 saa 11 jioni wiki hii katika Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda. Hii sio tu kwa mabosi wa timu hizo, ila hata mashabiki wao. Lakini kuna tukio kubwa lililojiri jijini Dar es Salaam jana usiku. Vigogo...
  11. JamiiForums Tanzania Mama mzazi amzika mwanaye usiku wa manane baada ya mtoto kufa kwa njaa

    Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru Mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimyakimya usiku wa manane. Mtoto huyo anadaiwa kuzikwa na mama yake mzazi aitwaye Rebecca Siowi (30) usiku wa kuamkia Aprili 22, 2022...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Usiku wa Leo Kwenye Masumbwi

    Errol Spence Jr Vs Yourdenis Ugas Ni vita, Ni moto, Ni hatari! Mtoto hatumwi Dukani!
  15. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima Simu usiku

    Salaam wana jukwaa,Kuna hii tabia ya kuzima simu usiku mwa kuepuka usumbufu wa calls na sms. Je, ulishawahi kuzima simu usiku then ukajutia? Tujitahidi kuacha simu zetu on kila wakati. Mimi Kuna siku nilizima simu usiku then nikalala,kumbe usiku wa Kama saa sita Kuna gari ilikuja ikapaki...
  16. JamiiForums Tanzania Rusumo: Mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo yoyote hasa usiku

    Mpaka wa Tanzania na Rwanda upande wetu Tanzania ndio mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo ya aina yoyote iwe kutokea Rwanda ama Congo DR. Ndio mpaka unaolindwa kizembe kuliko huenda kuliko mipaka yote ya Tanzania! Suma JKT eti ndio walinzi wakuu wa Exit gate letu pale Rusumo huku nyakati...
  17. JamiiForums Tanzania Wezi walichonifanyia usiku wa kuamka leo

    Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu. Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma.
  18. JamiiForums Tanzania Darsa ya Ramadhan 1 (2022): Mke na Mume hawaruhusiwi kukutana kimwili, haswa katika mchana wa mwezi wa Ramadhan

    Assalam alaikum Katika darsa letu la leo tuta tazama baadhi ya hukumu nyeti zinazo ambatana na usiku wa mwezi wa Ramadhan. Tukizijua hukumu hizi swaumu zetu zitakuwa katika njia iliyo nyooka. Na kama hatutazijua hukumu hizi basi swaumu zetu zita haribika, itatubidi kulipa deni pamoja na kulipa...
  19. JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu mechi ya Simba kuchezwa saa 4 usiku asiachiwe Ahamed Ally kuyajibu

    Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi. Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha...
  20. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…