usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya muziki kua faster wakati wa Usiku

    Muziki, Muvi na series zikifutwa duniani sijui maisha yatakuaje upande wangu maana Muvi na Muzi ni vitu navyovipenda as entertainment for me...napenda sana kusikiliza muziki sidhani kama kuna siku inapita sijasikiliza muziki. Hua napenda nikilala muziki wa slow jams, flashback,afropop nyimbo za...
  2. JamiiForums Tanzania Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  3. JamiiForums Tanzania BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  4. JamiiForums Tanzania Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

  5. JamiiForums Tanzania MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

    Nawaza hata niliyemkosea nakosaaa, Na mwezi sasa nyumba haikaliki mapaka yanalia kuzunguka nyumba nzima. Niliweka sumu wakafa wawili yaan kama nimefungua vita wakija kama wanaita wenzaao hatulali wakuu. Kibaya wapangaji wangu wameanza kuhama mmoja mwanae amelala nae kitandan kamkuta sebulen...
  6. JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha mchezaji mpya leo usiku

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kwelikweli," Simba itatangaza mchezaji mwingine mpya leo saa 5 usiku zikisalia saa chache kabla ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

    Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku. Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia...
  8. JamiiForums Tanzania Saa 4:00 Usiku Yanga wana jambo lao

    Je ni jambo gani? Tukutane saa 4:00 usiku
  9. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye njozi za usiku wa manane

    Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi muflisi) aliyesuka mipango ya Mama lao kuingia kwenye usukani. Nimeota Chama cha Mapinduzi (CCM )...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa serikali kuruhusu magari ya abiria kusafiri usiku

    Wakuu, week mbili hizi nimesafiri kwenda Tanga na Sasa Niko safarini kwenda Nyakanazi. Kwa Safari zote hizi, nimegundua na kuthibitisha yale ambayo nimewahi kuyasema hapa mara kadhaa. 1. Mabasi yanaondoka kwa sasi sana unnecessarily. Safari yangu ya Tanga nilifanikiwa kurekodi speed ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

    Nilipata demu nikiwa kijana kijana, tukatoka kwenda naye Ngwasuma, 2007 hiyo Ngwasuma wanapiga Makumbusho Village. Ukumbi ulikuwa unajaza sana, Ngwasuma walikuwa wanapendwa sana. Watu walikuwa wakitoka Tunduma, Mwanza, Kahama etc kuja kuwaona Ngwasuma, hivyo ni lazima uingie ukumbini mapema...
  12. JamiiForums Tanzania Geography is real: Nipo Kigoma saa moja na nusu usiku jua bado linawaka

    Tulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana. Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.
  13. JamiiForums Tanzania TANESCO haina mipango mizuri na sisi

    Ndugu zangu watanzania kwanza hiwapongeza kwa uvumilivu mlio nao na matarajio ya kuuona mwaka mpya🎇🎇🎆. Nasikitika kuwambia ndugu zangu kuna huyu nyang'au anaejiita TANESKO hana mipango mizuri na sisi. Wote tunatamani kuupokea mwaka miji yote ikiwa imechangamka kwa burudani za kila aina. Ila...
  14. JamiiForums Tanzania Nawahi nafasi ya saa sita usiku wa kuamkia 1/1/2023

    Jamani naweka booking, katika muda huo. Nitaweka uzi wa kuwatakia heri ya mwaka mpya wanaJF wote. Pia nitaandika malengo yangu ya mwaka 2023. Naweka booking ili mtu asije akaniwahi kuweka similar uzi. Heri ya Mwaka Mpya ndugu zangu wote... Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu mwaka 2023...
  15. JamiiForums Tanzania Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

    Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa. Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300. Hajawai tokea...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ujue 'Ghost Tree', mti unaowaka kama taa usiku

    Ghost Tree sterculia urens ni mti wa asili unaopatikana kwenye Tropical Rainforest, kwa Tanzania miti hii huonekana sana kwenye misitu ya Tao la Mashariki, inayoanzia milima ya Kipengere hadi Mlima Kilimanjaro. Mti huu wa ajabu ambao hamna aina ya nyani anaweza kuupanda huwa ni mrefu na...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaokwenda usiku huu Dodoma tupite Didz, Starpark, Samaki Morogoro, ntakuwepo sehemu zote

    Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya bia 5 na nusu ya mbuzi au ng'ombe choma. Maisha ni zawadi na maisha ndio haya haya, maisha ni watu...
  18. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita Usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu

    Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu. Tofauti na wasanii wengine niliowahi kuwasikia, hakuwa analalamika au kuponda wenzake, na majibu yake yalionyesha kuwa ni mtu ambaye kichwa chake kipo safi. Nafurahia ujio wake, mimi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Usiku wenye heri

    Ni usiku tena. Mambo mengi na pilikapilika za mchana zimekwisha. Tutakiane usiku mwema. Singles, tutulie kwenye rooms zetu. Huu si muda wa kwenda kusaka mbususu/mkuyenge mtaani. Fikiri mambo kadhaa kabla hujatoka. Preserve your precious sperms! Mkumbuke mwenzi wako na umtakie usiku mwema. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…